Wasanii wengine wamepoteza mwelekeo,
video zao ni uchi na matusi tu,
badala ya kufundisha kizazi mema,
wanawafundisha vijana uasherati.
2026-10-16 11:33:22
2
SALUM PATRICK MHOJA :
Sheikh ameongea fact 📌 maasha Allah Alhamdulillah
2026-10-16 11:24:42
1
Stopper :
pombe, sigara na mahusiano ya hovyo, na wanazifanya zionekane kama ndio maisha ya mafanikio. Mtoto anayeziangalia kila siku anaona kuwa uadilifu na heshima ni mambo ya kizamani, wakati ukiwa na mwili wazi ndio utapata umaarufu.
2026-10-16 11:26:53
1
Zena :
ni kweli
2026-10-17 08:09:10
1
user55605813630920 :
Shekhe upo sahihi
2026-10-17 09:59:33
1
Habib🔥 :
Wasanii wengi wa siku hizi wamekuwa miongoni mwa chanzo kikubwa cha anguko la maadili katika jamii, hasa kupitia video zao za muziki zenye maudhui ya ngono, uchi, matusi na ku glorify anasa. Badala ya kutumia sanaa kuelimisha na kujenga kizazi, wameamua kutumia miili yao na lugha chafu ili kupata views nyingi mitandaoni. Matokeo yake vijana wadogo wanaiga mavazi, lugha na tabia hizo wakidhani ndio maendeleo au usasa, na hatimaye heshima, aibu na maadili ya Kitanzania yanapotea taratibu.
2026-10-16 11:21:48
1
Sakina Issa :
hiv jaman kapatwa na nn anann
2026-10-17 04:51:54
0
Hashimu kilonda tz :
mbona picha zangoni zipo wazi wazi mbona haikemewi
2026-10-17 05:50:41
0
Siti Mohamedi :
kwer shekha
2026-10-17 14:52:16
0
irush :
ata ww ukiamka ukristo watakaje
2026-10-17 13:32:40
0
Mãe De Jija :
🥰🥰🥰
2026-10-17 08:00:45
0
yahya.jr :
🥰🥰🥰
2026-10-16 14:19:40
0
bachanjakhamis :
😳😳😳
2026-10-17 16:38:57
1
To see more videos from user @suleyman_wahb, please go to the Tikwm
homepage.