@pastormasterkey: KABLA HUJALALA USIKU WA LEO, SIMAMA JUU YA CHUMVI NA UOMBE NA KUJIKOMBOA KIUCHUMI VITU VINAVYOHITAJIKA: Chumvi Sakafu safi karibu na kitanda chako JINSI YA KUFANYA: Tawanya chumvi sakafuni karibu na kitanda chako. Simama juu ya chumvi ukiwa peku kwa dakika 5–10. Taja nia na matamanio yako kwa maneno haya: 🙏 MATAMKO YA KIFEDHA 🗣️ Ninaposimama juu ya chumvi, ninatangaza kuvunjika kwa mikosi, kukataliwa na milango iliyofungwa IKAFUNGUKE MAISHANI MWANGU 🗣️ Mikono yangu IKAPATE baraka na mafanikio. 🗣️ Matatizo yangu yasiendelee kunirudia; ninapokea mwanzo mpya wa maisha yangu. 🗣️ Kama chumvi inavyoongeza ladha, maisha yangu yajazwe furaha, Na mafanikio. 🗣️ Kila hatua nitakayopiga kesho ikutane na kibali, fursa na fedha. 🗣️ Sitakuwa mtumwa wa kukopa kila wakati; nitapokea hekima ya kusimamia fedha zangu na kufikia uhuru wa kifedha. BAADA YA MAOMBI: Acha chumvi hapo usiku kucha. Asubuhi, ifagie na kuitupa kwenye mfuko wa plastiki. Rudia kwa siku 3, ukitumia chumvi mpya kila usiku. TANGAZA HIVI JUU YAKI 👉 Ninaamini kuwa maisha yangu yanaweza kubadilika. Ninapokea hekima, bidii, fursa na neema ya kufanikiwa kifedha. AMEN! 🙏🔑

MASTER KEY 🔑
MASTER KEY 🔑
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 16 October 2026 11:11:20 GMT
22233
414
9
117

Music

Download

Comments

mamaprinceayaan
mamaprinceayaan :
chuvi ipi ya mawe au
2026-10-16 19:49:30
0
fatmammassy805
Fatma Mmassy :
ASANTE SANA
2026-10-16 21:12:04
0
furaha7070
furaha :
anen
2026-10-17 18:59:45
0
merissahkaita
merissah kaita :
Ahsante sana
2026-10-17 17:58:02
0
rojas_masia
Masai :
howa uchawi
2026-10-16 13:02:43
0
rukiakomba047gmail
[email protected] :
🙏🙏🙏
2026-10-17 10:55:31
0
highcare.spa
Highcare spa :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-17 12:33:31
0
To see more videos from user @pastormasterkey, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About