@islamicswahilinet: UMEJIFUNZA NINI KUTOKANA NA KHUTBA YA IJUMAA YA LEO ULIPOSWALI? Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 16 October 2026 11:13:16 GMT
5261
718
11
4

Music

Download

Comments

www.lissufasionshoes.co7
LISSU FASION SHOES 👞 👟 :
salaam waislam tuwe tunasalimiana nihaki yamtu kumsalimia Salam yamungu
2026-10-16 11:34:03
1
bich.boy92
mr. MO tz :
kutoa sadaka kwa ajili ya allah na kujiwekea akiba ya akhera
2026-10-17 04:09:29
1
user6156584610951
user6156584610951 :
ALLAH AKBAR
2026-10-16 14:54:19
0
jabirijumanne195
JB classic :
allah ameficha mambo 7 ndani ya mambo 7
2026-10-16 14:19:55
0
kassimdosa
Kassim Dosa :
Nimejifunza kuhusu Sakaratul mauti kila mtu lazima apitie hatua iyo na tusiwe na kiburi kuhusu mauti na mwisho tudumishe ibada
2026-10-16 14:40:39
0
qanuni8
QANUNI :
ukipanga mipango yako au kuzungumza na mtu kuhusu jambo linalokuja mbele usiache kusema INSHALLAH 🙏 usipo Fanya hivyo linaweza kuchelewa au lisitokee kabisa au likaja kinyume chakr
2026-10-16 14:03:22
0
yusufemmatz
Yusufuemma@Tz :
Nimejifunza kuhusu mirathi na ugawanyaji wake
2026-10-16 15:03:51
0
ibnabbas7861
ibnabbas786.. :
2026-10-16 13:55:36
0
mwinyi_25
Mwinyi 25 :
Nimejifunza Kuhusu Ubaya Wa Hasadi, Hasadi ni Mbaya Sana
2026-10-16 14:22:04
0
username_ifrah04
❤️ :
Tupendelee kusoma Qur’an kwa wing 🥰🥰
2026-10-16 14:21:39
0
faridi7274
faridi :
dunia tunapit n vitu vya dunia n vyakutupumbuza 2 kwaiy tuisikiimbilie san dunia tukaisahau akhera
2026-10-16 11:55:54
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About