Napendaga sana nikimsalimia mtu aitikie marahaba mambo
2026-10-16 18:50:47
19
lizlizzy :
ni kama marriage tz Iko sawa juu uku Kenya weah[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-16 18:41:40
0
Mitchelle nyar nyakach :
wakenya mpo
2026-10-16 16:29:46
11
abdallahrashidi34 :
Kila penzi litaonja umauti
2026-10-16 12:03:50
27
Mchela04 :
hiyo movie ipo you tube?
2026-10-16 20:32:57
0
sweet mellow 💕 :
mm siez salimia mume wangu shikamoo pale ulipo utanisamehe
2026-10-16 12:37:36
254
Zuuh🦋💕 :
jina la move tafazar😅😅😅
2026-10-16 15:36:38
13
Evakajala🦅 :
Mumewangu popote ulipo Siwezi kukuchungulia chululu yako ad nairamba af nije nikuamkie nefaaaa😅
2026-10-16 14:18:34
92
COSTANTINE 3 :
uyu sasa ndio ndoto ya wanaume wote wa TZ[Heart eyes][Heart eyes][Heart eyes]
2026-10-16 18:04:23
1
venocyber :
content hii Aagh
2026-10-16 22:12:46
0
@kevoo_ :
uku nasikia Alhamdulillah, kule nasikia Asante Yesu 🤔
2026-10-16 17:50:38
6
queen👸tz💗✨ :
ety shikamooo mme wangu khaah Aya bhanaa
2026-10-16 15:39:43
1
𝑺𝒂𝒅 𝑾𝒐𝒓𝒍𝒅 ...🖤 :
new challenge
2026-10-16 20:16:30
0
DACY :
KILA PENZI LITAONJA UMAUTI
2026-10-16 17:56:24
28
ndieks rodgy :
Napata wapi kama huyu jameni🤔🤔🤔
2026-10-16 16:53:03
6
🥀J²👩❤️👨💐 :
hv ni mm tu ninaekerwa na watu wanaopost maisha yao mtandaoni
2026-10-16 12:30:16
69
@de nice :
ndoto ya kila mwanaume🤌
2026-10-16 17:33:57
10
Charlson Richard :
Iv na mm kuna mtu atakuja kunishangilia iv
2026-10-16 14:58:02
6
lily :
mlio sikiliza adi mwishoo mtaniambia
2026-10-16 14:57:21
24
CUTE SHAKIRA🥰 :
nlimzalia nkamsalimia shikamoo mme wang ila bado aliniacha 😂😂😂😂
2026-10-16 14:39:33
22
Gaston_001 :
Jina la movies
2026-10-16 17:48:04
15
linah💃🥀 :
Atiiii….shikamoo au😳
2026-10-16 12:01:40
24
FEAR OF GOD :
:Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu.😁
2026-10-16 16:47:33
6
Haikamesia :
siku namuombea wangu laiv atanambia niache unafiki
2026-10-16 14:06:45
11
To see more videos from user @tonny_official2, please go to the Tikwm
homepage.