kuna siku alijifanya kutembea haraka Sasa nikasema ngoja nipunguze mwendo hageuki hata nyuma alivyo fika mbali akageuka akakuta nimekaa sasa kuita hawez akapiga sim nikamwambia nimeumia akarudi nikanyanyuka nikampita shwaaaa nikawa natembea haraka alichukia🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-17 09:32:20
53
🫧🍀Mis Janeth🍀🫧 :
Ila watu wa msigani [Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-17 07:01:56
3
Rosalia Chacha :
mi akinifanyia himvyo ikipita lifti napanda🤣🤣
2026-11-17 13:14:17
7
monicabujilima :
wanatembea ki ninja ninja😃😃
2026-11-16 09:40:51
41
Kabinti special 🦋💕☘️001 :
😂😂😂 Tumefanya Jana tu
2026-11-15 17:50:01
14
Warda Chausa :
alafu wakinitongoza usigeuke🤣🤣
2026-11-17 06:58:26
11
real Lovenes :
yaan hapo wametoka nyumbn vzr tu ila lazima imesababishwa na "babe nikuulize kitu" 😂😂
2026-11-17 08:50:55
5
Zari Zuberi :
kwenye ndoa kuna mengi sana me kuna siku moja tulikua tunatoka na mmeangu tumevaa vizur mwisho wa siku et ananambia ooh me natangulia utanikuta mbele aisee kwani nilienda nilichokifanya nikatoka nikapitia gate la nyuma nikaenda zangu bichi 😁😁 nikarudi usiku yee huko alikpenda kaenda pekeake aisee mpaka leo adabu na heshima tukiwa twatoka shart anishike mkono sipendagi ujinga mie
2026-11-01 14:43:46
27
Sadru Isaak :
Ukipanda boda mim nalud nyumban
2026-11-16 19:01:40
0
Chapter0617🥰🩷🙏 :
Utasikia we tangulia nakuja 🤣
2026-11-16 23:06:18
1
kimrey962 :
Me narud nyumbani😂🤣
2026-11-17 08:31:03
4
Official_kachory :
Hata me mume kwa hiyo miwani hatuongozanii😀😀😀😀
2026-11-17 12:48:27
2
VEE PARTY & GIFT SHOP :
Bora hata mkiwa na gari unasinzia hata kama safari ni ya kilometer moja