dah niliumia sana siku moja nilikuwa mkoa wa watu nikasema jumapili niend kanisani nakuta nila kimasai Alf wote wamevaa nguo zao Mimi peke yangu nimevaa gauni la kawaida nilikosa nguvu nikatoa huku jasho linanitiririka mpaka basi sikuwah rudi tena Alf wamebaki wananiangalia duh😭😭😭😭😭
2026-10-16 18:28:05
1
lornakiminta :
Hii nayo ni kali🔥
2026-10-16 16:26:50
2
ORMASANKWAI :
hongereni
2026-10-17 05:00:50
0
Kwaya wat. Natalia na Aurelio :
Bila shaka wimbo unajulikana kwa kishwahili
Kwa kimasai maibung'ata pookin kwa kishwahili unaitwaje kwa kishahili ?