zingatia haya mambo kwenye maisha yako namba moja kula vizuri wewe kama mtu wa kawaida kama binadamu ambaye una maisha yako yaani kwamba una vision una maono ya mbele unataka kuwafanya una malengo yako fanya ule vizuri kwa sababu siku hizi hata madaktari wenyewe ambao tunawategemea wao ambao wanasoma sasa hivi wanatumia hii teknolojia vizuri yaani huna shida yaani kwamba sio lazima tuwe ni ununue vibaya mikono zipo rukia tu vizuri pendeza namba tatu kula muziki ndugu yangu maisha yenyewe ndio haya kwa nini usienjoe kula mziki kula ngoma maisha yenye aende namba nne na cha mwisho kwenye mahusiano na mtu yeyote ambaye anatokea tiktok na snapchat wale sijui akina nani wale mtu mmoja huku instagram ana follow gani kwenye maisha achana naye atakupotezea muda snapchat hawa ndugu zangu milioni moja anaweza
2026-10-17 18:24:30
0
FIGHTER :
dah wanatumia ai
2026-10-16 18:27:10
0
Young brave 547™⛎ :
😂😂😂 Ety AI
2026-10-17 05:43:23
0
florarusule :
nikisikiliza music wananiita et nimsukimaa
2026-10-16 15:17:29
0
Jackline Godlove :
[Heart eyes][Heart eyes][Heart eyes]
2026-10-16 11:58:44
1
cute smile official🥰🥰 :
♥️♥️♥️
2026-10-19 09:33:31
0
To see more videos from user @letstalk_tanzania, please go to the Tikwm
homepage.