@tanzaniatwyford: Tunafuraha kubwa kutangaza ufunguzi rasmi wa duka la Kazuri General Suppliers, msambazaji wetu wa bidhaa za Twyford jijini Arusha Sasa unaweza kupata vigae (tiles) bora vya Twyford karibu nawe, kwa ubora unaoaminika na mitindo ya kisasa itakayopendezesha nyumba yako, ofisi au mradi wako. Asanteni wote mlioungana nasi katika siku hii ya kipekee!#arushavigae #twyfordtiles#twyfordtanzania#