@violamtetezi:

Viola mtetezi
Viola mtetezi
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 16 October 2026 11:46:16 GMT
155810
7996
451
155

Music

Download

Comments

freshboy_jr5
FRESH BOY :
mim Mke wang alikuwa anasemwa sana na kuchekwa na dada zake kwa kuwa na watoto wa 3 wote wakike tulikuw tuna umia sana tulisali sana na Mungu akaja kumpa mapacha wa kiume wote saiz kimya
2026-10-16 13:38:17
116
glorypeter698
Glory🥰 :
history yako kam yangu Ila mm bdo sijajaliwa
2026-10-16 15:39:23
72
bousrymaoulida
bendé☠️ :
jamani tulio beba mimba bila kujua mko wapi
2026-10-16 16:51:58
39
user8883336805832
zuhura the strong lady :
aki mm hata nmeloose hope my dear
2026-10-17 05:15:44
0
veeee378
Veeee :
Tusaidiee na sisi my love
2026-10-16 12:31:47
19
user8759248550940
user8759248550940 :
jmn mm nina irregular periods nawaza saana sku nkiolewa ntawah kwel kushika ujauzito[Crying]
2026-10-17 04:55:31
0
user2177201452355
mrs chuji :
mmmh mm hata sisemi nitainekan muogo ila asateee mung unatoa unavo tak ww et leo na mm natalajia kuitwa mama baada ya matus meng ten kwakit kidogo t kuhangaik kote nilipo ponea kweli mung yupo
2026-10-16 15:58:10
11
emmymisago
it's emmy :
tujifunze wapenzi p2 na kinga zingine siyo vizuri kwetu sisi mabinti mungu tu atunusuru
2026-10-16 14:41:48
23
wininyomolelo
winie :
mimi miaka 13 nimekaa sina mtoto natamani mniombee niitwe mama
2026-10-16 16:49:06
17
jaymee0011
jaymee0011 :
[Teary eyed][Teary eyed]Yan natamn kulia nikiskia hvy bas na mm nipate tuu hat mimb yenyew jmn [Teary eyed]
2026-10-16 22:22:36
0
dalucie017
Lucie🖤💖😘💫 :
dada angu mungu amkumbuke sasa ana miaka 36 hana mume wala mpenzi na toka amalize 4m 4 hajawahi kumtongozwa hata kwa bahati mbaya na tukizaa tunamtafuta yeye atutafutie majina ya watoto wetu 😭😭. ndani kwake ana kila vikolokolo vya watoto nguo za watoto kwanzia mwaka 0 mpka size miaka 10 hivi lakin hana mtoto roho inaniuma sana MUNGU MKUMBUKE DADA ANGU amekata tamaa 😭😭😭😭
2026-10-16 16:09:32
78
quavia0
Quavia :
we share a story
2026-10-17 02:00:18
0
bella.shop98
bella shop :
The Lord reigns 🔥🔥🔥🥰
2026-10-16 13:28:39
0
user7947099641184
user7947099641184 :
pole dada
2026-10-16 17:25:01
0
jayfx088
JAY📊📈💸 :
DAH NIMESOMA COMENT INAUMIZA SANA. MUNGU AKAWAFANYIE WEPESI KILA ANAEHITAJI UZAO NA KILA MWENYE CHANGAMOTO YA UZAZI MUNGU AKAWEPONYE KWA JINA LA YESU, HAKUN NAMNA FUNDI ANASHINDWA KUREKEBISHA CHOMBO ALICHOKIUNDA MWENYEWE, KWAKUA MUNGU NDO ALOTUUMBA ANAJUA NAMNA YA KUTUREKEBISHA MUNGU AKAWATENDEE MUUJIZA WENU KATIKA JINA LA YESU
2026-10-16 15:55:47
23
tiffah_wa_chibe
Tiffah Wa Chibe😘🌹 :
Furaha nitakayokuwanayo Siku nitakayopokea zawadi hii Allah nifungulie, anijaalie niwe mama kama wamama wengine, nijaalie niwe na uzao wangu, nijaalie kama ulivyomjaalia Nabii Ibrahim na Sara yaarabii😭😭😭nijaalie hata kamoja ya Allah nifute machozi mola wangu😭😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲🤲🤲 hongereni wamama wote yarabbi nijaalie Mimi mja wako😭😭😭miaka 14 nakulilia yaarabii nisaidie Mungu wangu😭😭😭😭🤲🤲 😭😭Nimelia sana kwa furaha kama ndio mie nimeshika mtoto ipo siku yangu inshaallah🤲🤲
2026-10-16 18:25:44
19
miss76095
Mrs~ :
eee mwenyez mungu na mm nijalie mwakaa uu use wa baraka kwangi
2026-10-16 13:56:30
15
classic.wear73
CLASSIC WEAR :
duh! Mungu amekuona mimi nina miaka 10 natafta mtoto nipo kwenye ndoa yaani nimeona huu ushuhuda wako nimerengwarengwa namachoz jamani
2026-10-16 14:43:37
13
mbishij
#mbishiJ :
tuelekeze dawa basi udugu
2026-10-16 14:55:12
6
eliabu.kombo
ELIABU KOMBO :
wakati wa Mungu ni wakati sahihi, pia hawahi wala hachelewi
2026-10-16 13:07:15
6
rachel.edson1
It’s Rachel🦋🐝 :
Mungu alikuwa anakuepusha na huyo muhalifu mwaya😂🤗
2026-10-16 14:08:16
6
thedy493
user thedy lyimothedy20@gmail. :
Mimi kizazi kipo karibu lkn ndoa ndio ishuuu Mungu nakataa raana y kuolewa mke w pili wanaume wanakuja waliooa Nakataa KW jina l Yesuuu 😭😭
2026-10-16 22:31:41
0
salmitah17
salmitah :
napitia hyo Hali mpk saivi natumia sanaaa
2026-10-16 14:37:16
2
stella.robert58
Stella Robert :
dadaa mim yananisu ayo afu nimeolew sas adi nalia
2026-10-16 13:00:57
2
beatrice.kennedy
Beatrice Kennedy :
nisaidie bas na mimi
2026-10-16 17:21:40
0
To see more videos from user @violamtetezi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About