nilikuwa najikuta wastara kweny kuta za nyumb ya baba 😂😁
2026-10-17 10:59:57
23
Haash ❤️ :
jmn me nilzan uyo n yusuph mlela
2026-10-16 13:03:35
7
Shakila Abby :
wastara na saluki iyo ilikuwa move mke na mume kweli yani uyo dada uyo ndio alikuwa mwanaume wake wa maisha mwenyezi akamchukuwa dah mwenye mungu apunguzie adhabu ya kabri
2026-10-18 08:37:48
2
Isha 💞💗💓 :
jina la wimbo
2026-10-16 17:51:59
5
cute :
movie ilkwa n jina gni?
2026-10-18 02:44:40
0
salum wakileo :
huo wimbo nilikua naupenda jaman🤣
2026-10-16 14:14:09
5
ummubaebe :
Jaman jaman kwel tumetoka mbal ila me nataka Jina la nyimbo nimesahau
2026-10-17 16:21:13
3
Jomza🥰 :
kuchikuchi ya bongoo[Facepalm][Facepalm][Facepalm]
2026-10-16 12:06:48
7
Mo :
yaaan apa mzazi ukizima tu TV utaambiwa ndio nyimbo nimecheza na baba Ako kpnd Cha ujana wao😂
2026-10-16 15:23:26
2
Charity15@ :
owa owa owa umenikumbusha mbal kwan hii bongo movie ilikuw inaitwaje kipenz
2026-10-16 17:01:24
1
Ommy Dimpoz71@gmail :
dah aisee miaka 20 kupita naona leo duh em nipeni jina la hii move nijikumbushe tena
2026-10-16 17:39:49
4
Veronika♥️ :
kumbe bongo tulikuwag na kina Kajol na shurkhan
2026-10-17 11:01:49
3
Babe zuuu🦋 :
innalillah wainnailaih rajiun sajuk 😭 pumzika kwa amn
2026-10-18 18:49:24
1
ley cute :
daa MR AND MRS Sajuki umetukumbusha mbali sn
2026-10-17 16:24:03
1
To see more videos from user @officialnolwil, please go to the Tikwm
homepage.