@winniestories1: Replying to @Rinna 💔❤️ ISABELLA — EPISODE 3 Mapenzi yanaweza kukufanya uamini mtu asiye sahihi… huku ukweli ukiwa umejificha nyuma ya tabasamu lake. 😔🥀 Alex anaendelea kucheza na mioyo ya wanawake, lakini safari hii anaingia kwenye mchezo ambao unaweza kumgharimu zaidi ya anavyofikiria. 👀🔥 Je, Isabella atagundua usaliti wa Alex kabla haijawa too late? Na Phillip ana nafasi gani katika maisha yake? ❤️‍🩹 👇 Tazama hadi mwisho na utuambie maoni yako kwenye comments! #isabella #fyppppppppppppppppppppppp #viral #SwahiliStories #Lovestory

winniestories.
winniestories.
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 16 October 2026 11:48:35 GMT
12873
1553
106
21

Music

Download

Comments

kauthar0009
UMMU S,A,M,I,R, :
next plzz
2026-10-16 12:19:05
0
binkatambi
My l💖💝 :
Next madam ni nzuriii[Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-16 11:56:06
2
user996561000035
ney :
next please 🙏
2026-10-17 08:37:18
0
hasna1940
sweet fabiani :
nest please 😂😂
2026-10-16 19:36:59
0
mellanin_queen1
Mellanin_queen. :
isabela unanikela emb msikiliz rfk yko jmn
2026-10-16 13:41:19
8
marian.nyisoti
Milly✨ :
haya nishakufolow [Big LOL]
2026-10-17 04:55:13
0
user62928556142523
hinnaya💕💕 :
next nzr xn
2026-10-16 11:57:49
2
user4731711816120tedy
Teddy January💞💕 :
leo wa kwanza nitag dad
2026-10-16 11:52:27
5
useriv45wv6fbq
am~Maggie❤️🍫🍭🥰 :
Yani hii Muvi uzuri Mmoja Kila nikiingia Titok lazima inifate yenyew
2026-10-16 12:01:14
6
rebeccagerald482
Rebecca Gerald :
nataka epsod ya4
2026-10-16 12:07:38
1
esthereliasi283
Rinna :
afadhali make kila mda naangalia kama imetoka episode3🤣🤣
2026-10-16 11:57:02
4
ryanminaj6
@Ryanminaj🦋 :
Ngoja nikufollw nisikose hii kitu 🥰
2026-10-16 15:32:04
1
evelny.cute
🫧£velny💫🤍Cute🍒🎀 :
Mimi wa kwanz😂😂😂 leo
2026-10-16 11:52:09
2
cuteveey
officialveey :
Nachopenda zaidi kwenye story zako ni fupi tunawahi kufika final bira kuchoka
2026-10-16 14:52:24
1
user4945625931342
mariapaul🥰 :
Huyu Mr Philips aje kwangu mambo yasiwe mengi😅maana naona isabela anamchezea bahati
2026-10-16 14:13:10
2
itbaepipy
🎀It’s pipy 🍬🫧🧸 :
Next nitag kipnz Nzr mno 🥰🥰🥰
2026-10-16 12:11:29
0
macrena54
macrena🥰🥰🥰 :
daah story nzur sana ila namuonea huruma isabela jmn
2026-10-16 13:47:54
0
doryn189
doryn :
Nimekufollow ole ucheleweshe😂
2026-10-16 14:09:07
0
fetty.mtiti259
Fetty Mtiti :
Naenjoy na hii movie🥰
2026-10-16 12:24:58
0
cutebby5761
neybeuty🥰 :
naipenda vp 😋
2026-10-16 12:06:06
0
user34739952613431
Nasma❤️‍🔥🌹 :
Nitafutieni Namba ya Mr philip🤣🤣
2026-10-16 15:00:58
1
aishahamza7429
Aisha Hamza :
next
2026-10-17 14:42:23
0
official.e49
Official E :
nmekupenda Bure Isabella sem funguka
2026-10-17 09:46:50
0
yy38818
Janeth Mwakyusa :
nice
2026-10-17 12:12:15
0
salama49277
Salama💦 :
Hey
2026-10-17 11:22:38
0
To see more videos from user @winniestories1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About