@jambotv_: Wakili wa Serikali Mwandamizi Daniel Nyakiha akimpa mkono Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu mara baada ya mahakama kutoa hukumu katika kesi ya Kikatiba juu ya haki za mawakili wa Lissu kumuona na kupata usiri wakati wa mazungumzo yao gerezani Ukonga. Wakili Nyakiha leo alikuwa akimwakilisha mdaawa wa kwanza hadi wa tatu katika kesi hiyo ambao ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Kamishna Jenerali wa Magereza na Mkuu wa Gereza la Ukonga. Soma zaidi kuhusu uamuzi katika page zetu

Jambo TV
Jambo TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 16 October 2026 12:00:06 GMT
292834
15800
264
160

Music

Download

Comments

nuhrazack
Ms Nuh🦋💞 :
kwani hukumu tayali jaman ckua online mcnichambe
2026-11-06 09:39:06
30
jlove874
J love ❤❤ :
ila Kama vile namuona Magu wa pili ndani ya lisu ni mawazo yangu tuu😳
2026-11-06 12:43:59
28
exclusive77453
exclusive77 :
miaka mi nne ni sawa na miaka miwili tu make siku zinahesabiwa asubh na jion
2026-11-06 11:30:06
41
saimon.kassanda
saimon kassanda :
huyu jamaa ana moyo wa kipekee sana Mungu ampe hitaji la moyo wake
2026-11-06 11:16:22
66
kashju1
user5060600180133 :
sasa hongera yanini mimi sio mwana siasa hila nimelia
2026-11-06 12:01:11
16
user8831671131135
zephany :
the energy u have TAL God knows
2026-11-06 14:27:23
0
asukhan.jr
Asukhan_Jr🍁🤟🏽 :
Amehukumiwa mika 4 jela hadi 2030😳
2026-11-06 11:21:15
11
jumaamichael
jumamichael :
Hakuna kuhesabu usiku na mchana bali huwa kuna msamaha wa ⅓ ya kila mfungwa miaka minne inamaanisha lisu atatumikia miaka miwili na miezi minane.
2026-11-06 13:55:26
5
fbi_tz26
"FBI✓~OFFICER👨🏿‍✈️** :
ukweli ni kwamba Lissu,jaman ana kesi ila serikali aiwezi kumpa uru kwani akitoka kwajambo la kusema kashinda itakuwa aibu kwa serikali na wata mlipa garama kubwa sana ndo mahana lazima wa,muhukumu kuficha aibu ukweli ndo uwo🫥
2026-11-05 06:37:56
37
jonathan.musyoki1
Jonathan Musyoki :
kwa Imani ya mungu uta shinda
2026-11-06 09:14:37
13
severine.mabirika
Severine Mabirika :
ila huyu jamaa ana moyo upi...miaka 4 yet bado ana furaha ya juu....🥰
2026-11-06 12:13:50
7
royaltasteproducts
Royal taste products :
He is very Strong🙌🏻Kweli kila mtihani huenda kwa mtu wake🥰 MUNGU akutunze
2026-11-06 11:29:57
8
useranb18
Ab_2222 :
Dah only 4 years ? Serikali imechemka hapa
2026-11-06 11:22:05
7
kiula.charles
Kiula Charles :
mungu ni mwema siku zote ipo siku atatoka ataungana na jamii ya watanzania wote.
2026-10-16 14:44:45
34
mohamed.salim5491
Mohamed Salim :
AWA MAGEREZA WASHACHOKA KILA CK KULINDA LISU MMOJA KM WANALINDA TRUMP SEMA NDO IVO
2026-10-17 06:20:07
8
jupiter.mkongwa
Jupiter Mkongwa :
rais anae ishi jela
2026-10-16 14:38:25
16
user1337677527081
user1337677527081 :
the only wise human in Tanzania
2026-10-16 16:45:34
7
user4957144452487
user4957144452487 :
mungu atatenda
2026-10-16 15:06:35
7
user3267450619560
user3267450619560 :
powerful man✅
2026-10-16 15:10:13
5
user81847231shannely
shannely 🌹🥰 :
uyu babaa mungu ampe maisha marefuu😊😊
2026-11-06 10:58:36
6
issakapetro
Newton Officially 96 :
Wameona akija Uraiani atawapelekea moto 😂😂😂😂😂😂 Ety wanafuta uhaini wanaweka uchochezi Kama kweli mnaweza bato mngemuachilia mkaona Ishi miaka mingi kiongozi
2026-11-06 11:22:30
5
jstatistics
MathStats :
Mawakili wote wanamwelewa huyu mwamba coz ana expose mambo mengi kwenye sheria ambayo wanatamani kuyapinga
2026-10-16 16:09:08
8
husnahysbayb
Baby Huu Abaya Collection ❤️🛍 :
2026-11-06 12:46:32
1
hellenmushi2
hellen mushi :
2026-11-06 12:39:58
1
jshayo2
Jshayo :
2026-11-06 12:30:59
1
To see more videos from user @jambotv_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About