@john_madeje: ✅Viwanja KUMI NA NNE (14) vimeshatoka toka juzi nilivyovitangaza kwa mara ya kwanza mpaka sasahivi, wahi usije kukosa uknilaumu na kujilaumu kua ningejua ningewahi hivi viwanja🙏🏾🤣, nitashare update tena baadae. Asante sana. ✅VIWANJA HIVI VIKO DODOMA-CHAMWINO IKULU-MSANGA-IKULU SACCOS KARIBU NA CHUO KIKUU KIPYA CHA WAKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI CAG KINACHOJENGWA. ❌Kwa wawekezaji wenzangu wanaotaka kuwe majirani zangu na tumiliki wote na tufaidikiw wote nakupa hivi viwanja vyangu baadhi sio vyote nauza so atakae wahi ,ushindwe wewe kuchangamkia fursa leo ✅VINAFAA KWA MATUMIZI YA KUJENGA VITU VYA BIASHARA KUSUPPORT CHUO KINACHOJENGWA MFANO.. ✅Hostel,guest ✅Frame za biashara nyumba zankupangisha ✅bar ✅hotel ✅maduka ya madawa na maabara ✅wengine wananunua ili chuo kikifunguliwa mwakani wauze kwa bei nzuri wapate faida zaidi. ✅Cash: TSh 10,000 kwa m² ✅Miezi 6: TSh 11,000 kwa m² ✅Mwaka 1: TSh 12,000 kwa m² ✅Awamu: malipo ya kuanzia ni 20% ya bei yote. Wahi kiwanja chako leo wasiliana nami kupitia (+255) 0757933264 @wanawakeprojects.company.ltd @wanawakeprojects.company.ltd @wanawakeprojects.company.ltd #biashara #ujasiriamali
John Madeje
Region: TZ
Friday 16 October 2026 12:11:16 GMT
Music
Download
Comments
Osman Bey :
whatcha yo back
2026-10-16 20:49:41
0
123456789 :
hakuna kuoa tuu
2026-10-16 15:26:25
13
mrs ally💝🔐 :
nna swali
2026-10-16 21:14:16
0
Eng_nestory sanga :
story ya uongo😁😂
2026-10-16 15:32:38
10
Leo🦋 :
Mmm i think this is according to the woman (a lawyer) alotrend akiongelea hiki kitu but sio kweli… utapewa haki yako according to namna utavoprove mchango wako
2026-10-16 17:09:12
0
Angel_aggie :
not true
2026-10-16 15:39:57
0
subeth94 :
Prenup documents 🔥🔥🔥
2026-10-16 16:59:43
1
user2661030758782 :
hakuna uwongo
2026-10-16 15:18:50
5
manyota Decoration :
unauwakika na story Yako broo
2026-10-16 17:28:53
3
Tivany :
Nikijenga nyumba simwambii mwanamke ntamwmabia tumepanga na kila baada ya miezi sita ataona nalipa kodi
2026-10-16 17:03:09
8
Mairila :
Mchango wa mawazo😂
2026-10-16 17:36:18
2
justin_joseph_machete :
distribution haiwezi kua sawa kuna extent of contribution pia inaangaliwa aliejenga na anaepaka rangi contribution haiwezi kuwa sawa
2026-10-16 12:23:52
5
Faster_real_estate :
hehehe
2026-10-16 14:31:50
0
Kenwizzy graphix :
Vipi na wao tukiwakuta na Nyumba 😁😁😁na mali zao
2026-10-16 15:13:38
4
Djuma🐐 :
Hatuna cha kumsaidia mpka atwambie alipataje M680
2026-10-16 17:59:59
1
darflow :
story za kifara hzo broo
2026-10-16 16:34:05
2
ALI :
kaka izo bongo ila zanzibar hakuna ivo kaka bongo jau
2026-10-16 12:53:36
3
KC77 :
c ndio apo naanza kutafuta kabastora kadogo😂🤣
2026-10-16 17:08:57
1
marcelo :
na vipi kama nikisainisha mke wangu pre nap then ndio tukawa tunakaa hapo still itatambulika kama nyumba ya wote.
2026-10-16 14:49:14
1
Ⓐ︎Ⓜ︎ :
Mzee unaangaliwa mchango wako hakuna 50 kwa 50... ila utatoa hata 20%
2026-10-16 17:07:19
1
Veil400 :
Tatizo zima limeanza alipooa tu...izo paving block ni side effects 😅
2026-10-16 15:18:29
1
MGORE BUILDERS :
uongo sheria haipo hivyo
2026-10-16 20:17:44
0
MaarifaTime :
Sheria zibadilishwe
2026-10-16 21:01:03
0
future Stationary :
hahaha yani nijenge mimi alaf Tamaa uniletee me sisemi sana ila tutakutana kwa sir God
2026-10-16 20:39:46
0
@𝐷.🐾 :
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😂😂𝑛𝑖𝑐ℎ𝑒𝑘𝑒 𝑚𝑖𝑒 𝑠ℎ𝑒𝑟𝑖𝑎 𝑛𝑔𝑢𝑚 𝑠𝑎𝑛𝑎 🤣🤣🤣
2026-10-16 21:11:20
0
To see more videos from user @john_madeje, please go to the Tikwm
homepage.