Sisi wetu yupo kwenye ubora mda wote Ila Ronaldo mpira hajuwiiii
2026-10-16 13:06:24
4
Johnson_maico :
na messi nae asemeje kwa pepe na ramos
2026-10-16 12:37:42
4
Composure✨ :
Messi hata ukimgusa kosa😂
2026-10-16 16:36:28
1
Macmusa :
mimi naomba upin ikae hapo juu Manaa Kuna watu wanataka kutulazimisha kula Matango pori tena uwaambie tena kwa herufi kubwa tu Kua GOAT WETU TULIMUONA KWENYE UBORA WAKE SO WASITULAZIMISHE ata watutangazie nn WETU atabaki kua huyohuyo CR7
2026-10-16 13:09:23
3
Bruno.10 :
Tupe video kuhusu licha 🙏 naona hujaliongelea
2026-10-16 12:38:03
1
JEMBE JUU.32 WACHEKELEA :
nad atengwe
2026-10-16 16:10:13
1
care :
waambie kk
2026-10-16 14:08:58
1
Some1classic :
Ko tena kuchezewa rafu ndo kujua mpira au sjaelewa familia
2026-10-16 15:05:30
0
maximilian :
fact kaka @madeba sampayo og
2026-10-16 12:44:43
1
MO perfect :
hivi hukuona rafu ya Ramos na pepe kwa Messi
2026-10-16 13:12:35
0
KILAKA👑 :
sema wewe kaka😂
2026-10-16 15:19:33
0
Rahimu Kabelwa :
Kwamba unataka kusema hizi rafu mess hajakutazo nazo hebu rudi tena kaangalie ramos alichokuwa anamfanyia mess
2026-10-16 12:38:28
1
manywele :
stoke cty
2026-10-16 12:57:24
1
Tradermaryflorence :
dah huo mpira au vita unamkanyagaje hv mtu😳😳😳 hap mm ningeacha mpira
2026-10-16 19:57:28
0
jesto tz :
hamna kitu hapo wewe pamoja na hayo vp walipokutana uefa barca na man u ilikuaje jibu😂😂😂😂😂😂😂
2026-10-16 21:36:55
0
marcello :
tulia madeba🤣🤣🤣
2026-10-16 20:59:02
0
Negstore :
Hkn player apo janja janja sana uyu[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-16 20:37:30
0
Malcom :
Kwa hii clip STEVE CHAMPION hajatoka ndani mpk xxiv 😂😂😂😂
2026-10-16 20:02:12
0
jg_ngowo :
🤣🤣🤣🙌🙌🙌 kaka umetisha
2026-10-16 20:53:14
0
To see more videos from user @official.madeba77, please go to the Tikwm
homepage.