@nabiijamesnyakia_: Kosa vyote lakini usikose ibada ya jumapili hii kanisa lipo mbezi beach Africana kituo cha Rafia karibu sana #fypシ゚viralシ #fypシ゚viralシfypシ゚viralシalシ #foryoupage #tanzaniantiktok🇹🇿 #creatorsearchinsights
Huu ni Ushirikina siyo utendaji wa imani halisi katia Kristo
2026-10-16 21:50:58
9
Alpenza Home And More..... :
Mavumba ni nini,na ninayapata wapi
2026-10-16 19:14:35
4
Goodluck ngapulila :
yanauzwa wap
2026-10-16 15:45:06
3
RSMINISTRY :
Prophet haya si muyache muwape watu YESU KRISTO kwani haya tunayoyatafuta yatufaidia nini ? Tuhubiri neno na kiwaonesha Yesu ni nani..... huu si uganga huu nakemea kwa jina la Yesu usiwapotoshe hao watu please 🙏
2026-10-17 17:55:27
2
Sonia dangote :
navumba njo nin jamani
2026-10-16 20:17:07
2
donatienndizeye :
Imeandikwa mtahijua kweli na kweli itawaweka huru. Huu mtumishi namuelewa 100% hii nisiri. Mimi ninayo wajaribu wataona.
2026-10-17 19:51:31
4
Madam Sara :
mavumba ndo nini
2026-10-16 17:46:11
1
Ta grâce 🙌 :
kwa iyo mavumba ni nini jamani
2026-10-17 05:01:50
1
🌹mamy🌹❤️ :
kabisa
2026-10-16 17:31:54
1
ELIABU :
nilini tunachoma mavumba nije jamani nimechoka kutumikia watu na naombeni location ya kanisa lilipo MAVUMBA hayadanganyi
2026-10-17 04:16:07
2
lolo Spare part 〽️〽️ :
yesu mwana wa daudi uturehemu
2026-10-17 13:01:53
4
mamii :
Amen
2026-10-17 03:39:49
1
malkia💫 :
kwani damu ya yesu iko wapi jamani
2026-10-17 18:58:42
1
Joyce mosha :
amina
2026-10-17 16:02:35
1
RSMINISTRY :
Huu ni uganga huu msitumie madhabau kufanya ugangaa
2026-10-17 17:56:11
2
RSMINISTRY :
YESU ALIFUKIZA WAPI UVUMBA?
2026-10-17 20:11:11
1
linus :
baba unaanzalini ibaada za mikoan
2026-10-17 20:24:21
1
Evans Mathias Kautipe :
Anamaanisha ubani
2026-10-16 18:39:22
1
dickie :
mix by yas
2026-10-17 16:30:08
2
jechadjechaDennis Thadeus :
mmmmh
2026-10-17 10:28:43
1
Salem M. Patrick :
YESU SAIDI KANISA LAKO
2026-10-18 11:30:10
1
🛠Designing & Engineering⚙️ :
Tumsifu Yesu Kristo wa Katoriki....
2026-10-17 21:42:48
1
beatrice :
😁😁😁😁😁😁 Yesu tusaidie
2026-10-16 18:51:10
1
To see more videos from user @nabiijamesnyakia_, please go to the Tikwm
homepage.