@hubofwisdom.inc: "Tukiwa tunaongelea damu, ni agano. Ukiwa, mwanaume umeenda kufanya mapenzi na mwanamke damu ikatokea lile ni agano. Ndio maana tafuta msichana yeyote leo muulize 'nani alikuvunja bikira?', hata kama leo hii ana miaka 60 anajua, kwasababu lile ni agano." ~ Lilian Mwasha Una maoni gani kuhusu hili... Tnathamini maoni yako, tuandikie maoni yako kwenye comment section @hubofwisdom.inc au tuma neno WISDOM kwenda namba 0753825794 kujiunga na mijadala katika kundi letu la WhatsApp au tembelea tovuti yetu www.hubofwisdom.com/media #Thewisetz #Jinsia
sio kwa kizazi hiki na wale watoto wamebakwa au ni wazazi wao je hayo nimaneno ya mwanadam msemaji wa mwisho ni mungu mwenyewe tulielewe neno vyema usizidishe usiongeze imeandikwa
2026-10-16 13:35:30
3
Arafa Mbata :
Viongozi mpo saih kwa mujibu nashelia za Mungu
2026-10-16 15:05:37
3
Abdallah Kambangwa :
Kwakweli hata mimi sioi 🤔
2026-10-16 14:56:32
2
The Loyal Boy💥 :
nashindwa kuelewa...
2026-10-16 15:55:56
0
6baby :
na kwa wanaume ambao wamewatoa bikra Zaid ya wanawake wawili je inakaaje hyo
2026-10-16 14:13:44
1
Grom :
mbona Hosea nabii wa Mungu alioa kahaba na alikuwa mke wake
me nacho shangaa saiv wale ambao sio mabikra ndo wanaolewa na shereh ya kifahari na wengine mpk mabango wanawekewa ila wale walio jitunza awapati wa kuwaheshimisha sjui kwann
2026-10-16 14:10:15
1
user5735784933684bora uzima :
uongo wenu
2026-10-16 19:13:05
0
thedon boys :
nanyinyi viongozi mmeowa bikla
2026-10-16 19:06:50
0
AUNY=+TZ🇹🇿 🧢 :
Ay wasikilizeni hao mtakosa hela kamanawatania🔥🔥
2026-10-16 19:09:20
0
ruguru og ( baba prisca :
Africa watu wameanza kupata akili sasa ......
Mimi sijawahi mtoa mdada bikla jaman loooh
2026-10-16 18:39:15
0
ROCKTHAN Baba la Bala :
Wadada weng hawata olewa 🤣
2026-10-16 18:35:34
0
Salimbacte :
zi pwapi sasa🙄🙄🙄🙄🙄
2026-10-16 20:18:29
0
Angle Bosco :
je sisi tuliyo bikra kwa kubakwa tukiwa watoto ko na sisi atupaswi kuolewa nyie jisikieni mnacho ongea sawa
2026-10-16 17:15:54
0
Ramona Kim :
na mwanaume je ukikuta sio bikra😁😁😁😁
2026-10-16 14:52:40
1
BAHAJ007 :
💯
2026-10-16 17:59:18
0
Hamso 003 :
🤣😂😅
2026-10-16 19:15:33
0
To see more videos from user @hubofwisdom.inc, please go to the Tikwm
homepage.