@boilee_: kama mpenzi wako hakupi mapenzi kama unayotoa ww basi mwambie hv#boileetips #viral #fyp #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya

Boi Lee
Boi Lee
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 16 October 2026 12:23:53 GMT
29423
1959
37
27

Music

Download

Comments

imanwilliam836
imanwilliam836 :
okey kaka
2026-10-16 12:39:57
0
d.moka.4
d moka 4👊 :
daaah sahiii apow
2026-10-16 19:15:33
0
mimahnails1
mimah nails 💅 :
tiktok unaingia na relationship unatoka ukiwa single [Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-16 15:39:39
1
john.wherever
John Wherever :
kwa mwanamke tena ukimwambia hivo inakuwa kama unamwambia azidi kuondoka kwako, ukimlalamikia hivo mwanamke anaona kumbe ndo unampenda huna pa kwenda zaidi yake ndo anakuacha vzuri sasa, lkn kwa ushauri wangu kwa wanaume mwanamke akiku-pull back na wewe pull back mara mbili zaidi yake... atanyooka mwenyewe tu
2026-10-16 14:21:11
5
diana.burton52
Diana Burton :
huo muda wakuuliza ndo sina
2026-10-16 16:04:51
0
malikifits
𝗺𝗮𝗹𝗶𝗸𝗶𝗳𝗶𝘁𝘀 :
Kaka ulipotea sana
2026-10-16 15:11:10
0
miss26226
Miss 💗🥰 :
Asante kaka saiz Nina Amani ya moyo na akili😌 InShot baada ya kumuliza hivo naona ameanza kunisikiliza😁
2026-10-16 19:57:17
0
ruthsimon240
occupational therapist :
asant kak
2026-10-16 20:20:34
0
hassanmbaga5
hassanmbaga5 :
kaka kaa kimnya tuuu atakutafuta mwenyewe😂
2026-10-17 15:32:26
0
fabricgaljeie
fabulous🩺 :
me nimekaa kimya tuuuuuu sku ya pili leo we mtu anakuambia ameamua kukaa kimyaa noo le me be quite
2026-10-17 12:34:48
0
retishiatz
Retishiatz :
wallah
2026-10-16 13:14:44
0
user3959571262743
zaidia :
daaah 😭😭 nashindwa niseme nin wallah
2026-10-16 12:41:37
0
omaryjumaa570
diasto :
duuu ila Kak NDmn nakukubal
2026-10-16 14:56:14
0
davidob16chauffeur
DAVIDO B16🛻🇨🇩 :
kwahechima 🫡🫡
2026-10-16 13:43:39
0
dott2026
familia :
nakubali
2026-10-16 14:06:49
0
gracesfm06w
Grace :
ahsante sna kaka
2026-10-16 12:47:24
0
reuben.bangili
reuben bangili :
kwa heshimaaa
2026-10-16 12:37:37
0
user913503579786
Alves :
mbn atasema tuachane hahahaha atajua mwenyew mm sijali wala
2026-10-17 14:17:54
0
narcisseassani0
narcisseassani0 :
@
2026-10-16 22:11:06
0
mr_money232
𝔪𝔞𝔢𝔰𝔱𝔯𝔬✦𝔪𝔯☆𝔪𝔬𝔫𝔢𝔶 :
ila mwanangu kama uli someya vile
2026-10-16 14:15:00
0
www.tiktok.com.tzmatrida
Sweet girl :
Ninaxhd na ww plz
2026-10-17 13:23:14
0
japhetsitoki
japhet :
heshima kwako
2026-10-16 13:34:52
0
user9117834437735
offical ray :
🥰🥰🥰🥰
2026-10-17 10:02:34
0
joseph.irenge2
Joseph Irenge :
🥰🥰🥰
2026-10-16 13:26:47
0
To see more videos from user @boilee_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About