for really am passing through dis situation lkn Mungu atasmma 🥺🙌
2026-10-17 18:25:44
0
FIFI DRISHITY 🍫💝🍓 :
what is the name of the song
2026-10-16 13:00:46
4
Happie🦋🦋 :
my wallpaper ❤️
2026-10-17 17:41:41
0
Wise lady🌹🌹 :
Dah😭😭😭😭😭😭😭😭sometimes mtu unaamka hujiskii kuongea na mtu unalia tuu why😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-10-16 14:16:50
103
Rahafbby :
I am a Muslim but this song.....😭😭😭
2026-10-17 10:30:49
2
Hope🇹🇿 :
Si mtu anikumbatie hapa🥺😭
2026-10-16 20:17:17
28
Evaletha🦋 :
kaka umeoa
2026-10-16 14:58:14
7
MUMA⚓️ :
I’m nothing without you lord🙌
2026-10-16 12:45:55
1
jirrysenya :
Leo huu wimbo umefanya nianze upya msiba wa mamayangu daa
2026-10-17 09:10:47
6
gracee ❣️ :
Nikisikiliza huu wimbo msiba wa mume wangu unaanza upya......😭😭😭😭😭
2026-10-16 19:26:50
11
jojo_drama :
Nyimbo nzur san hii
2026-10-16 13:16:43
33
Jabby. G1809❤ :
student from ndanda sec
2026-10-16 14:15:50
1
G🍒 :
Leo nimeamka na hii nyimbo Toka asubuhi sijikii kuongeleshwa nimechoka moyo nafsi mwili yaan sijui shida ni nn😭😭😭😭
2026-10-17 13:40:09
5
@official_anesta22🌹🥰 :
Nilisikiliza huu wimbo nikalia masaa 2 moyo ulikuwa umejaa machungu nahisi maumivu makali yasiyokuwa na mfano 😭😭😭 lakini namshukuru nimeuona mkono wake 🙏
2026-10-17 11:09:18
1
Mom calo❤️❤️❤️ :
Mungu kwann hutupi wanaume Kama hawa unatupa wanao tuumiza tu jamn woii☹️🥺
2026-10-16 21:26:25
2
CIA🪞BeautyTZ :
hakika nikiwa na wew MUNGU wangu sijachelewa😇😇
2026-10-17 09:32:12
1
penuelly :
bro una kitu kubwa sana GOD bless u🙏🙏
2026-10-17 10:20:47
1
Debby 🥰❤️ :
Nyimbo yang ya nyakat zote wakat wa maombi 🥹😩 maan kun vit tunapitia hatuna wa kumwelez zaid ya Mungu peke ake
2026-10-17 05:35:55
0
Tatu knotles❤ :
huu wimbo umeimba wew?
2026-10-16 20:17:04
3
KILIMO 🧢 :
kidali
2026-10-16 18:51:28
1
Aisherfaraj :
sauti uliyopewa na MUNGU kweli unaitendea haki yani nikisikiliza nyimbo zako napata amani ya moyo MUNGU aendelee kukupa maarifa uzidi kutunga nyimbo nzuri za kututia moyo 😥🥰
2026-10-16 20:11:18
1
Anastar :
yani nikisikiliza hii nyimbo najikuta nalia na kufanya maombi mda huohuo
2026-10-16 23:12:00
1
🦋🌸𝓑𝓪𝓫𝔂 𝓔𝓶𝓶𝔂🌺🌺 :
😭😭 nimewaza mengi sana juu ya wimbo huu aah😭😭
2026-10-16 15:35:05
1
Grace John :
mungu iangalie mioyo yetu wew ndio unatujua tulivyo zaidi ya tujijuavyo
2026-10-16 18:43:59
1
Ms Ozone ❤️🌻 :
Unanibariki sana😌[Red heart]UBARIKIWE
2026-10-16 18:01:17
1
To see more videos from user @eng.didasshills, please go to the Tikwm
homepage.