@bongofive: Picha za video zikimuonesha nyota wa zamani wa Klabu ya Chelsea na timu ya talta ya Ivory Coast, Didier Drogba, akiwasili chini Tanzania leo, Oktoba 16, 2026, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Tanzania kuelekea fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027.