@motherchildwellness1: UKIONA UTE HUU, USIPITWE NA SIKU ZAKO ZA RUTUBA! Mama, ukiona ute wa uwazi unaovutika kama ute wa yai bichi, huu unaweza kuwa ishara kwamba umekaribia kutoa yai (ovulation) na una uwezekano mkubwa wa kupata ujauzito. ⏰ MUDA MZURI WA KUSHIRIKI TENDO ✅ Anza siku unapoona ute huu. ✅ Shiriki tendo kila siku au kila baada ya siku moja wakati ute huu unaonekana. ✅ Hizi ni siku ambazo uwezekano wa kushika ujauzito huwa mkubwa. UNATAMANI KUITWA MAMA? 🌸 FERTILITY BOOSTERS — pata maelezo zaidi kuhusu afya ya uzazi na safari ya kutafuta ujauzito. 👶👶 UNATAMANI WATOTO MAPACHA? ✨ Fahamu zaidi kuhusu TWIN BOOSTERS na afya ya uzazi. 📩 Wasiliana nasi leo upate maelezo zaidi kuhusu FERTILITY BOOSTERS na TWIN BOOSTERS! #womenfertility #twins