@veriafya: Akizungumza kupitia kituo cha Wasafi Media, Dkt. Sarafina Swai anaeleza Ugonjwa wa Figo unaweza usiwe na dalili za wazi kwenye hatua za awali, lakini baadhi yake ni Kuvimba kwa Miguu, Kichwa kuwa cha Mviringo pamoja na Mkojo kuwa na mapovu au damu Ni muhimu kupima afya ya Figo mara kwa mara ili kuchukua tahadhari mapema, na kwa anayegundulika apate Matibabu stahiki

Veriafya
Veriafya
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 16 October 2026 12:58:39 GMT
815
22
1
1

Music

Download

Comments

gregorygwasma
Gregory Gwasma :
😳😳😳
2026-10-16 19:26:15
0
To see more videos from user @veriafya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About