ukimsikiliza bila makasiriko utagundua huko sahihi
2026-10-16 16:20:32
117
🌝 moon :
mwanamke ana akili huyu jmn af ukiwa na hasira huwez elewa
2026-10-16 15:32:38
222
Aaron Jae :
so what 😁
2026-10-16 22:44:56
0
Sophy05 :
ilove you so much dada
2026-10-17 09:03:56
0
ŤÒŔÌQÙÀÀÑÀ❤💍 :
HELL NO
2026-10-17 01:51:08
0
rynvyl :
imagine kma ni pesa unakuta mwanamke pia acontribute ahakikishe usafi,chakula na ratiba zote za nyumbani azae yani wanawake hatupumziki walioolewa wanaelewa sana 🙌🙌🙌
2026-10-16 16:46:46
50
Chatma Farm :
Nonesense
2026-10-17 04:35:39
0
Tajiri wa Kasulu :
wanaume tuendelee kuwa makini .....tupo kwenye hatari kubwa sana
2026-10-16 17:46:24
37
mrs mk :
ananufaika mwanaume mim nmeacha kaz ksa ndoa nmeambiw nfanye biashara
2026-10-16 15:18:26
22
it's.Katelyn 💦🧚♂️ :
msikilzen bila hasra mtamuelewa
2026-10-16 17:36:16
8
Love ❤️🥱❤️🔥 :
Wanaume wanecharuka humu 😂
2026-10-16 17:43:34
12
Tasac Latra :
Hizi Media Uchwara Zinachangia Pakubwa Sana Kubomoa Maadil
2026-10-16 19:30:06
37
noëlla neema 🇨🇩🇺🇬❤️ :
njo ivoo jmn sasa mimi nifanye kazi nikuchungia nawatoto jamani ata bible inakataa ile ni nooooooioooooooooooooo
2026-10-16 17:50:36
5
🌹😇 :
Mimi nitachangia mifuko mitatu ya cement kwaajili ya sanamu la huyu dada 🥰🥰
2026-10-16 19:14:15
10
MJ cosmetics 🧿 :
Haswaaaa [Big LOL]
2026-10-17 05:50:30
0
user8182815504239 :
Nani kakwaambia Binti Kuzaa n sacrifice????,Kuzaa n jukumu as long as unajinsia y kike
2026-10-17 05:03:56
5
haleem Zanzibar :
Wamatulele watoto ambao baadae wanakuja kisema nani kama mama na si kama baba watoto ambao wanakuja kusema namtafitia mama angu alaf useme mwanaume ndo mnufaika kweli ??