@thevoiceofafrica21: Rais wa TLS akizungumzia kuhusiana na kupotea kwa Barozi Pole Pole na Makamu wa Rais Dr Emmanuel Nchimbi #TheVoiceAfrica #tanzaniatiktok🇹🇿 #foryoupage #viral #fyp
ni kweli hatupo timamu, tumerogwa miaka hii ya njaa tumepitishwa
2026-10-16 18:05:24
27
stanss :
aliee mpg kura ninani
2026-10-16 18:50:14
5
Jeremy Jacquet :
sasa Kati yetu wananchi na nyie viongozi nani anatakiwa kuongea Mzee? sisi kazi yetu kulipa Kodi nyie kazi yenu kuongea Kwa niaba ya wananchi...
au tuwaache mlipe Kodi sisi tuongee?
2026-10-17 03:59:13
9
sethtanda :
ni kweli, tulimchagua sisi wanainchi sasa wanakaaje watu wachache na kumuondoa? hapo pakoje
2026-10-16 19:44:45
13
uncleM :
Lini akina Mwabukusi wakawa na uchungu na watu wa ccm ?
2026-10-16 19:17:19
8
Ayubu Said :
ala unatutukana tena haa ! zuzu mwenyewe aysee nije nikasahau
2026-10-16 14:06:38
9
Setter Getter Technology :
nilisha waza hilo sema nipo nje ya box.. tusaidie
2026-10-16 17:05:07
12
vaspuracan :
comment ziwe fupi fupi kidodgo
2026-10-17 19:02:36
1
Zogo Babalao :
Ukisikia matumizi mabaya ya Taaluma basi ndio hii....!! Tuhuma zote mbili anazowasilisha ukimpeleka Mahakamani akasibitishe atakwambia Umemuonea....!! Ukimwambia athibitishe ni lini Polepole amerudi Nchi, tuonyeshe Passport yake ikiwa na muhuri wa Uhamiaji ikionyesha siku aliyoingia Nchini....!! Au aonyeshe picha ya Vedio ikimuonyesha Polepole yuko Uwanja wa Ndege akiingia Nchini, Au aonyeshe mkabata alioingia Polepole na mwenye nyumba aliyopanga ukiwa na sahihi ya Polepole...!! Hadi lro maswali hayo huwezi pata jawabu...!! Kuhusu Makamo wa Raisi hakuondolewa na Kamati ya chama. Sote ni mashahidi, tuliona barua aliyoiandika akiwa ns akili zake timamu bila kulazimishwa akisema anajiuzulu Utumishi wa Umma na Mambo yote ya Kisiasa...!! Hata taarifa iliyopelekwa Bungeni imesema hivyo akisema wazi uwamuzi wake huo ni lini unaanza...!! Kwavile ridhaa ilikwisha tolewa juu ya kujiuzulu kwake, matayarisho ya kuijaza hiyo nafasi ilikuwa ni jambo la lazima kwa kumujibu wa Sheria na Katiba....!!! Maswali ya kuondolewa uanachama hiyo ni kazi yake yeye na chama chake, na jambo hili lilitokea baada ya yote kufanyika