@blood.zone.solution: #unitedstatesofamerica🇺🇸 #creatorsearchinsight #tanzaniatiktok #england🇬🇧 #helthyfoods

Blood Zone || 📞+255759512984
Blood Zone || 📞+255759512984
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 16 October 2026 13:15:36 GMT
15219
380
31
58

Music

Download

Comments

swaib.lucy
Swaib lucy :
wew doctor nakupend buree
2026-10-24 16:38:10
1
eddy.runa
Eddy Runa❤️❤️ :
Dokta unapatikana wap
2026-11-02 09:18:10
1
khadijajuma433
khadijajuma433 :
tatizo madaktari mko wengi kila mmoja anatuambia na lake huyu anakwambia kula hiki huyu anakwambia hiki usile yaani mnatuchanya sana Wallah
2026-10-17 04:57:54
4
ljmwambar
Lj Mwambar :
duh ! tunavurugwa
2026-10-17 01:53:39
3
user9998173380049
Pauline Don :
doctor nlifanya kipimo ya HBA1C matokeo yalitoka 6.4 tafadhali nifafanulie
2026-10-18 19:43:09
0
user2724359108776
Karim junior :
sasa muganga surituambi eti tufunge? sasa ivi unema eti munjwa wasukari asishindenja nini sasa?
2026-10-17 14:08:41
2
rozz.rox
Rozz Rox :
True bro
2026-10-25 12:01:41
0
gift86534
Gift :
that's true
2026-10-24 09:02:57
0
major9720
Major :
Namweye muna tuchanganya
2026-10-17 16:59:23
0
ummyjm
UmmyJM :
Very true👏🏽👏🏽
2026-10-19 13:24:54
0
julieth9293
JULIETH :
kweli kabisa Mwanangu hatamimi yalinikuta elimu Yako imenisaidia Asante iila kukonda ndio kunanitesa endelea kutupa elimu
2026-11-01 09:04:14
0
danie7198
Danie :
kweli kabisa
2026-10-16 18:12:37
0
umesraon
umesraon :
mimi dk nakulaaa nilikonda sasa nakulaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-18 06:24:43
0
emmy39311
Emmy :
nachokaaa walahi😂😂
2026-10-18 12:05:15
0
lizz58982
lizz589 :
unae angalia hii video nakwambia scroll huku chini utakutana na docta anakwambia usile kabisaaa chakula ukiwa na kisukari😂😂
2026-10-19 02:31:01
0
fatuma_2_
Fatu :
madaktari wa kisukari mnatuchanganya sana jamn
2026-10-18 04:52:27
1
ayshaabrah
ayshaabrah :
Nani aliesema unakufa. hujui kifo ni mda wanakufa wazima. na ukifika ndio mda wako uliopangiwa utaenda tuu kwa mung bila sukari wala chunvi.
2026-10-19 06:57:30
0
umesraon
umesraon :
chanzo madokta mpo na dokta wa maslahi
2026-10-18 06:25:28
1
douglasngaita
Douglas Ngaita :
😂Duuu mnatuchanganya sana aisee
2026-10-16 20:39:02
4
user5061996168247
user5061996168247 :
kabisa
2026-10-16 20:16:21
0
doris.tarimo
Doris Tarimo :
Dr mzuri sana mungu akuweke kwaajili yetu
2026-11-04 13:25:51
0
mamu.ismail5
Mamu Ismail :
Nikweli kabisa niliyeseka sana huko nyuma wallah ubarikiwe sana[Pray]
2026-10-17 07:39:12
0
chatumkubwa7
chatumkubwa :
mm nakukubali sana doctor kwa ushauri wako
2026-10-17 07:03:10
0
user9546102069923
zulpha mohamedy :
Mimi Nina kisukari huu na mpaka wa 8 nadunda silii wala kuogopa chochote zaidi ya Mungu watu wa kisukari wengi wao wamechoka wana kwashakoo
2026-10-17 09:40:06
0
rjmoshi
Rjmoshi :
😳😳😳
2026-10-17 08:12:47
0
To see more videos from user @blood.zone.solution, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About