Hii TikTok ukifuatilia kila kitu unaweza ukawa mganga walah
2026-10-17 04:59:52
34
Grace😍😍 :
Utanilaza njaa😅😅 me kazi yangu ni ya kupokea simu sana na sina wateja common, kwa siku napokea zaidi ya namba ngen 30 boss acha kutuua✍️
2026-10-17 02:58:01
32
elfazorgrey :
Kila mtu na mambo yake bro! wacha kuwatisha watu wengine wana wagonjwa mahospitalini na wengine wana familia zipo safarini na wengine wanafanya kazi kwa simu so inaweza ikawa simu ya muhimu na km mtu kaishiwa chaji akaazima simu, imani yako itakuponya ktk jina la "YESU KRISTO" watesi watashindwa, Amen 🙏
2026-10-17 12:30:42
3
Tsitsitsi 🧄🍯 :
Mi namba ngeni mda wowote ule sipokei labda uanze na meseg yenye maelezo nikujue wew ni nani hapo naweza kukupigia ila bila ivo utakesha sipokei hata iwee mda gani aisee