Allah aifanye hii video ifike mpaka Kwa viongozi wakubwa wa dini yetu tuseme inshaallah
2026-10-16 22:58:22
9
Ahmed :
maneno machache lakini yana maana makubwa sana Allah akupe umri
2026-10-16 23:50:05
8
Kombo :
Allah akulipe kheri mzee wetu kwa kusema haqqi
2026-10-17 07:41:51
1
doctor matelephone :
wallah daawatussalafiyya inazidi kuenea mpaka araha
2026-10-17 06:23:11
3
ABUU SAHIL :
Naam ustadh umenena ukweli mia fil mia
Allah akuhifadh
2026-10-16 18:22:17
5
3z ukumbusho tv :
Asante saana mzee
2026-10-17 05:11:50
3
halifamohamed655 :
kuna mazuri uliyoongea na kuna mengine umeongea kishabiki t
2026-10-17 07:47:48
0
💫Ahmed💫 :
Umeongea vizuri sana Shekh 🙏
2026-10-17 04:21:33
2
Obah :
mi nauliza tu: vitabu vitakatifu Quruani na Biblia vimetabili kuna nyakati zitafika watu wataanza kukufuru sasa hapa tunacholaumu ni nini mbona kama tunapingana na maandiko yalivyotabiri?
2026-10-17 06:52:30
0
Mimah Harith :
2026-10-16 22:27:53
1
COMFORT AFRICAN WEAR :
kweli sana
2026-10-16 22:43:09
1
armmy sparkle❤️🔥💫♥️ :
point kabisa wamezidi kiukweli
2026-10-16 23:38:01
1
makame. kazuvi :
mungu akuweke uzidi kuyaona ya Dunia na waumini wa Sasa na viongozi wa dini mapungufu uyaone upate uthubu uthubutu wa kukemea mabaya inshaallah
2026-10-17 03:43:31
0
Sumaya Ali🇰🇪🇦🇪🇪🇦 :
Allah Akbar
2026-10-16 23:02:24
1
Mr. :
Masha Allaah. Baraka llahu Fiyk
2026-10-16 19:55:09
1
Sumaya Ali🇰🇪🇦🇪🇪🇦 :
2026-10-16 23:02:50
1
Sumaya Ali🇰🇪🇦🇪🇪🇦 :
2026-10-16 23:02:35
1
zaahid :
ni kweli na kuna wengine wanasema kuoa wake wengi ni bora kuliko kusali😂
2026-10-17 09:30:19
0
babaissaya :
na tena hao ni wasomi watajika,mwenyeezimungu akuhifadhi yaa shkh.
2026-10-17 09:24:50
0
Hussein byaruhanga :
kweli kabiisa naomba Allah akuhifadhi
2026-10-17 09:21:34
0
yaser :
jazaka allah kheyr
2026-10-17 09:06:46
0
yb Ghostzone :
Allah Akubarik shekh wetu
2026-10-17 09:36:42
1
Chebe Boy :
inallillahi waina ilayhi rajiun nam mze wetu ukweli usemwa kabisa ambayo hayajaka sawa ukiona sema hatuwezi kupotezwa nakakundi kadogo kawatu haiwezekani asante sana mzee wanazidi kupinda kabisa shukran sana mzewetu🙏♥️♥️♥️
2026-10-17 10:03:28
0
To see more videos from user @lutfi.akrabi, please go to the Tikwm
homepage.