Achana Na Mambo Ya Madhehebu Imamu SHAFI Ndie Mwenye Hilo Dhehebu. Mtume Hakuwa Na Dhehebu
2026-10-16 21:26:59
10
RIYADH🇰🇪 :
WATU WA SHAFII OYEEEHH
2026-10-17 17:31:57
7
Abu Ali :
Ipi kauli ya rasulullah
2026-10-17 02:58:36
5
user1346917625392 :
hajamrejea
2026-10-16 19:15:18
4
elba :
Kama ni hivyo sasa ile hekima ya kumuacha mwanamke talaka 1 halafu akabaki pale pale ndani na eda maana yake ni nini??
2026-10-21 22:38:53
2
Mhando :
Sawa nimemuacha lkn kama anazid kupendeza nifanyaje shekh kumbuka mtaraka hatongozwi anakumbushiwa tu
2026-10-20 22:21:53
2
Lamsonga Mp :
assallam alleykum ndugu zangu waislamu ivi kulejea ni makubaliano ya pande zote mbili mwanaume na mwanamke km mulivo kubaliana wakati wa kufunga ndoa au mwanaume akiamua pekeyake kumlejea mwanamke bila ridhaa yake lejea ina swihi naomba msaada wa majibu ndugu zang
2026-11-04 04:25:26
0
ahmedalrasmail0 :
mimi mke wangu alitaka talaka kwa hiali yake nikamuacha kweli sasa kipindi cha eda ya talaka zimepita km wiki 2 tupo kwenye eda ya talaka akanipiga na msukumio wa chapati je amenilejea au anataka kuniuaa
2026-10-24 14:04:06
0
"Mboma" :
uzuri maimamu wametofautiana kwaio hapo tumepona Alhamdullilah
Masha Allah tabaraka Allah...
nitafawata maelezo yako shikhe.. nikulizwa suala Hilo...
waume siku hizi talaka NI kama kutafuna ubani.. kidogo Tu ashatupa...
2026-10-16 17:58:36
1
fatma :
mm.namfata mtume imamushafii hapana
2026-11-01 04:34:12
0
Aisha miraji :
sahihi
2026-10-31 18:05:27
0
amar3.2 :
Sawa Sawa atamke
2026-10-21 07:03:05
0
Hamad :
hajamrejea
2026-10-16 15:01:57
1
Raj_001 :
Alaaa
2026-10-16 19:17:17
1
Nana Ligarke :
sahihi
2026-11-01 09:33:55
0
Ganalltsour🗽🍻❤️🔥🖕 :
tenaaa
2026-10-25 11:32:13
0
Said Ibnusalum :
That's right
2026-10-29 09:01:09
0
Aunty boss :
mbona tukikosana mchana...usiku hata hatuongei....tunasongeleana polepole.....tukinasana...mmoja anajitikisa badae wote wanaenjoy..kukicha...ndoa yaendelea,bila mazungumzo....