hizi clip ndo zilifanya niingie ndoan, ila nachokutana nachu aunzubillah natukaniwa umaskin wa kwetu Kila dakika
2026-10-17 06:25:18
11
@Abitwah🔥🔥 :
Wawoo manshallah Allah atujaalie wanaume wema tusio na ndoa ya Rabbi
2026-10-16 15:55:27
24
Farsi :
Jamani achaneni na mapenzi, niachieni mmi tu, [Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-17 03:36:51
0
mama double A :
ilishawahi kunikuta nikapelekwa na mabegi yangu mpka karibu na nyumbn alafu akanambia turudi acha ujingaa lkn sasa iv kaniacha😭😭😭😭😭
2026-10-17 09:48:11
2
Hemed Masoud :
nisaidie jina la wimbo huu
2026-10-16 16:10:49
1
mom Amaal🦋🥰 :
huyu ni baba Amaal kabisa[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] na ukimtishia kumuacha hlf mkapatana ukampa siku hiyo anakukomoa anaenda hata 6 hlf anakuulz utarudia tena kutak kuniacha🙌🙌
2026-10-17 05:19:36
2
salha abuu :
da ila mapenzi Aya🥹🥹
2026-10-16 15:49:23
2
Pili 🇸🇦💥🇰🇪 :
Nili pack na nikatoka sikuambiwa lolothe.🤣😭💔
2026-10-17 06:55:48
1
mami g :
Maasha Allah hakika
2026-10-16 17:36:16
1
mune :
😂nmechekaa
2026-10-16 16:39:42
1
Nadia salum💕 :
mimi Sasa nikisusa narudi mwenywe ata anifwati🤣🥹
2026-10-16 16:30:22
2
habibaty cyte😘 :
𝒊𝒔𝒉𝒂𝒍𝒍𝒂
2026-10-16 14:52:22
1
mamy suu :
2026-10-16 15:40:48
1
chuba geege :
😂❤️
2026-10-16 16:28:36
1
mrsshaban001 :
Mm nisingerudi . At least anipeleke ka out kidogo kununuwa ice cream 😁 . Hiyo kuchoka yote kisha nirudi bure No 🤭😂
2026-10-17 10:11:38
0
nihakhaasasrafamofa :
hahahah
2026-10-16 15:58:33
1
Malume🚦🦺🇹🇿 :
SIO TANZANIA YETU AISEE 😂😂😂
2026-10-16 23:29:53
0
Farsi :
Hayo ndo yanayo nikuta mm [Heartwarming]
2026-10-17 03:36:10
1
cutyhussnah1502014518249 :
mashaallah naomba mme wangu awe kama huyu
2026-10-17 10:33:34
0
Goose :
😂😂😂 huwa sifikqgi hata barabarani baba wa watu ananifata eti nami narudi mapenzi hayaa ila wanaume mpunguze uongo jmn
2026-10-17 09:09:30
0
salhadmpoz :
huyu n wang kabisa nikifka getn narud ndan
2026-10-17 09:47:26
0
Zuuh🧚♀️ tz :
Ndo usubili mpaka nitoke njee ndo unichumu
2026-10-17 10:20:45
0
💎arshadhin 001 :
uyu Ni mm Jana 😂😂😂
2026-10-17 10:10:19
0
mombalbil :
dah ila wanawake hatuna msimamo sijui kwanin😆😆🙌
2026-10-16 16:20:35
0
hooriyah017 :
😝😝😝
2026-10-16 15:04:02
1
To see more videos from user @abou_hooriyah, please go to the Tikwm
homepage.