Mimi natembea na kinlion mayai cc 200 kilometer 450 kwa masaa ma 3na nusu unagawanya kwa dakika unapata sekunde ngapi kwa kilomita
2026-10-16 16:03:53
3
KONDE MR VAIBU :
dhuuu baass
2026-10-17 06:15:31
1
466' :
huu moto sio poa
2026-10-16 21:45:51
2
Wamasha✪ :
2026-10-16 14:54:39
1
Fundi Simu :
Mimi na sinoray yangu cc 200 nakula 1.5km kwa dakika 1
2026-10-16 18:52:56
1
Otto Lamar. :
Babaa😂🔥🔥🔥
2026-10-16 16:32:09
1
Amady bakari :
hiiii ndege usiufate huuu mziki na gari Yako ya aina yoyote. utapaaua engine Yako. hili ni jini linalo tembea V8 wala nani atakaye subutu kukukaribia kaka. .nataka gari izi . ferall .Rambo gin. bugati dog mustang . Benz GWagoni baba unatisha🎂🔥🔥😳🖐️💪🙌
2026-10-16 20:34:44
1
charles Mwanjala :
kwa mwendo huo dar to moro saa moja
2026-10-16 20:30:29
2
NashNai :
Dah
2026-10-17 21:00:15
0
R1250 GSA TZ :
🥰
2026-10-16 20:16:59
0
makumipeterk :
autobahn
2026-10-16 19:15:02
1
Bhachu :
inaonekana mlikuwa hamtembei
2026-10-16 15:31:50
1
Vinno_smartprice :
Babaa chuma inapepea weeh 😂😂
2026-10-16 21:09:29
1
Sky :
Dah kumnina.. pesaaa🤦
2026-10-17 05:45:09
0
Rider_Balgay :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-16 16:22:26
1
POMBOO_BIKE :
🔥🔥
2026-10-16 16:21:45
1
To see more videos from user @jey_1250gsa, please go to the Tikwm
homepage.