@director.navorce: #katoro #mwamposa #geita #mwanza #trendingvideo

Director Navorce Official
Director Navorce Official
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 16 October 2026 13:40:59 GMT
78018
3367
120
70

Music

Download

Comments

jojoposhy
Jojo Poshy :
wow this my dady ❤️❤️❤️❤️
2026-10-17 07:54:21
0
lydiahlydiah737
lydiahlydiah737 :
team mwaposa
2026-10-16 18:46:46
0
ney84087
Merci💋💋 :
kwa Yesu raha sanaaa [Pray][Pray] lazima kupokea double double [Pray][Pray][Red heart][Red heart]
2026-10-17 05:09:21
1
tedilucas405
🔯🕎M不🙅不会嶊♐️🅰️ :
katoro
2026-10-17 07:33:19
0
kasiga63
kasiga :
ukute Mwamposa ndo raisi na hatujui 🤣
2026-10-16 16:10:25
9
mozes.nestor
Mozes Nestor :
msinifokee lakin nauliza. hiv kama kweli mwamposa anafungua watu na kuponya. kwann hatembelei hospitali ambapo kunawatu wanauhitaji mkubwa sana sijawai kuona nabii yeyote hasa wanao fufua watu wameenda hata mochwari kufufua watu. hapa ndipo namuelewa m7 wa Uganda aliita manabii wote waje watende miujiza ebora isepe hakuna nabii alie enda hata mmoja alikua sawa kuwaambia walipe mapato maana niwafanya biashara kama wengine tuu
2026-10-16 18:57:43
16
user7156986517614
ALI :
hakuna nabii zaidi ya nguvu za giza sema binadamu tumetawaliwa na ufinyu wakufikili
2026-10-16 19:25:08
12
family.hassani
cheka na mwenzako :
walikua wanapewa hela
2026-10-16 14:08:05
2
mussamathiasenock
mussa mathias enock :
hapo hakuna mungu wa kweli bali ni nguvu za giza niamini mimi🙏🙏🙏🙏🙏
2026-10-16 21:58:13
4
lovenes.amosi
heart love :
jmn mwambien aje lunzew jmn me natak mchumba mweny hof ya mungu wend akijantampat
2026-10-17 05:46:25
1
teddyvenyven
Teddyven Yven :
wawo jamn nakusubili kwa ham san na shauku mwanza@
2026-10-17 04:45:20
1
paullongino191
Paul Longino :
ila ki ukweli watu wameitika yeye mwenyewe kakubali katoro Kuna watu
2026-10-16 14:42:04
7
alson.alson0
SONCHRISS MADINI :
calculate hapo kuna watu 100000×5000 kwa kila mtu hapo ndo utajua anapiga hela
2026-10-16 16:03:39
2
user7102539013774
MISuNgwi :
katoro
2026-10-16 19:56:59
0
abell.lutamla
Abell Lutamla :
si hapo soko kuuu la dhahab katoro
2026-10-16 14:40:19
1
winfrida776
winfrida :
ad kongaman lipite. nishapat Mme sahihi
2026-10-16 18:10:53
2
bravo_tswagzjini
bravo_tswagzjini :
dah jamaa anapiga hela sana kwenye kazi yake 🤣🤣
2026-10-16 15:36:06
5
king.d422
KING D :
hivi kwa muonekano huo wote wana nguo rangi mbili na miamvuli rangi mbili tu?au ni AI?make naona bluu na nyekundu tu.
2026-10-17 06:11:14
0
merrythomas23gmai
💦💦miss💓💕ka💫to🕳ro💯 :
soko kui la dhahabu katoro[Pink heart][Pink heart]
2026-10-16 16:17:57
0
gb_phones1accessories0
GB PHONES AND ACCESSORIES :
soko jipya ktr
2026-10-16 15:23:23
0
mkulimampya04
The new farmer😅😄😃 :
jamaa aanajua kutembelea fursa kasikia katoro kuna hela kaja kuchukua
2026-10-17 05:45:01
1
user2090458375638
user2090458375638 :
eeeeeeh mungu wa mutume mwamposa najuwa kwa iyiii miujiza ya leo namie napokea ufungulivu wa maisha yangu yoote na famille Yangu yote inawezekana
2026-10-16 16:50:08
2
mandelarobert70
mandela 96 :
weeeeeeeeeeeeeh zote izo ni ela ama
2026-10-16 18:15:36
1
isha34618
ISHA :
kwa mwaposa ccm mnada wa dhamani
2026-10-16 15:32:22
1
miriamenock
Miriamenock :
Mwanza tunamusumbiili kwa ham sana
2026-10-16 15:20:35
1
To see more videos from user @director.navorce, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About