@kaka_wavitambi: Sio kila anayekula wali na ugali ananenepa na si kila anayekula salad anapungua uzito. Mpangilio mzuri wa sahani yako ndio kila kitu 🥰🔥 -✅Nusu mboga mboga -✅Robo protini -✅Na robo wanga ya akili (kiasi kidogo) Chakula cha mchana kisipokushibisha, basi jioni utakula kupita kiasi, na hii itapelekea mwili wako kuchanganyikiwa na kuvurugika 👉Insulin itapanda 👉Tumbo litajaa 👉Homoni zitavurugika 👉Mafuta yatajikusanya tumboni Na hii itapelelekea uzito wako kuongezeka.🥹 Ukiwa serious na afya yako na unataka kujifunza namna ya kupanga milo kwa matokeo ya haraka ya kupungua uzito, DM/Comment "MUONGOZO " kwa Msaada wa haraka zaidi unaweza ukatuma Text WhatsApp au ukapiga Cm kupitia Namba hii ☎️ +255 713 70-1943 #foodlovers #kitambi #weightlossfood #creatorsearchinsights #explore