@former_mustso_president: Msafara wa makamu wa Rais Mhe.Dkt Deogratius Ndejembi katika ziara mkoani Mbeya🔥🔥🔥#trendingvideo #makamuwarais#ofisiyamakamuwarais#mbeyauniversityofscienceandtechnology #mostviralvideo

Yohana Lucas
Yohana Lucas
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 16 October 2026 13:49:36 GMT
68679
2230
188
57

Music

Download

Comments

bobseif20
Bobseif20 Baby :
Nimehesabu gari zipo 45
2026-10-16 17:59:07
38
samwelimadano
Samweli Madano :
huu msafara wote , gharama za mafuta wanazotumia hapo , wangetumia kutupandishia mishahara walimu tunaofanya juu chini kutoa ujinga na kuwaelewesha maisha watoto wenu, ningewaona wa maana sana.
2026-10-16 18:31:24
24
mr_safari_mpori_pori
Mr SaFaRi 🇹🇿 :
nilijua tuu, 1hz ndo ya mwisho
2026-10-17 12:36:12
3
johnson.zk
Johnson zk :
msichokijuaa hapo huwo msafara sio makamu 2 kuna viongozi wengine ambao anaambatana nawo wa mkoaa husikaa ndioa maana magar yanakuwa mengi
2026-10-17 04:28:26
5
user5798170752333
Boniface :
Tz bado sana. Angalia msafara wa Traore. huoni magari yote ayo. Pesa za ayo magari unafanya vitu vingi sana vya muhimu
2026-10-18 04:12:32
2
nassirhb
Eľ niño :
1hz dereva nilikua mimi
2026-10-16 21:06:05
3
wali.nyani
wali nyani :
1hz kama kawaida nyuma nyuma yao
2026-10-16 20:21:16
2
unknownerror6969
unknown3rror :
badala watu waende makazini wamesimama kuangalia magari yana pita😂
2026-10-17 06:42:06
1
user5931717162532
Dr Kalebu AgriTech :
Tanzania sihami kwanza Hadi nije kuwa kiongozi
2026-10-16 16:50:11
1
abdulkujaa4
abdulkujaa4 :
hiyo ni Ziara ya kikazi kwahiyo katika msafara kuna viongozi kwa Nafasi zao mbali mbali ambao wameongozana na VP kwenye Ziara mfano Mawaziri, na viongozi wengine ndio mana gari nyingi
2026-10-16 21:47:12
0
lothikisota1
ESILE OF KIBAIGWA :
mimi nimepata 45
2026-10-16 18:52:01
1
user96309568722562
elizabeth sanga :
ila mama alisema atawaweka kwenye kibasi mbona magari yamekuwa mengi tena
2026-10-17 13:16:15
0
shadracktimoth925
shadrack timoth🫶🫶🫶 :
sas gar 45 mtu muhimu ni mmoja kwakipi hasa
2026-10-16 21:35:24
0
rey1hz70serie
Rey 1hz Driver :
1hz NI ya mwishomwisho ili Hilux ikifariki uvutwe 😂😂😂🔥🔥🔥🫡🫡🫡🫡
2026-10-18 07:39:18
0
amon.agrey
Amon Agrey :
48
2026-10-16 19:50:34
0
dboyamos2
Ghost :
Gari 46 huu ndiyo msafara wa makao wa raisi swali magari mangapi yatakuwepo kwenye msafara wa raisi. Hata msafara wa Trump hauna msururu wa magari yote hayo.
2026-10-17 06:30:13
0
awatan.ngalayo.lei
Awatan ngalayo lein tz :
mbona mama alisema mafuta yamepanda beii viongozi wanatakiwa kuwa na msafara mdogo😁
2026-10-17 08:08:04
0
kingericky45
kendrick :
masafara wa trump world president una gari 20 tu ,,njooo sasa kwetu afrika ,,eeeh mola badili fikra zetu ,,,,,,,Bado adui baba wa taifa alio tuachia hatuja fanikiwa kuwa ondoa ,,ujinga ,,umaskini ndio tuna zidisha
2026-10-16 19:09:30
1
issahussein49
izzy :
Iyo iyunga iyoooooo
2026-10-16 18:33:09
0
tembacosmetcs
Festo temba :
Iviatanchi zilizoendelea kama buknafs huwa kunamsafara wakiongoz wanamnahiii kweli TZ tupojuu juuzaidiii
2026-10-16 19:46:15
0
simon.changamla
Simon Changamla :
kwann 1hz huwa inaachwa kila cku
2026-10-17 13:22:11
0
madorosilver
madorosilver :
Kodi zetu zinatumika.vibaya sana na ccm
2026-10-18 19:07:55
0
sapyguy
Salome :
mimi ndio nilikuwa naongoza msafara huo iyo jana nipo gari no 1 nmepoa sjna baya
2026-10-17 18:32:14
1
ruben.ruben0370
Ruben Ruben :
allways miss you jpm forever 😭😭
2026-10-16 18:01:16
3
user9090705997369
ST, KANDAYA :
hiii nchi kwenye somo la uchumi wote ni ziro
2026-10-16 17:38:46
3
To see more videos from user @former_mustso_president, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About