@dachazchaz2: #kenyantiktok🇰🇪 #dachazchaz #dachazchaz2 #bongoupdatetrend

Dachazchaz
Dachazchaz
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 16 October 2026 14:04:36 GMT
131839
5860
383
1701

Music

Download

Comments

hildamjenga
Hilda Mjenga :
ukitaka uendelee kuheshimiana na watu, hakikisha hawakanyagi kwako! niamini mimi
2026-10-17 05:08:51
318
kabinti_special_
Kabinti special 🦋💕☘️001 :
Unaweza fikilia ni Content kumbe ndio Maisha halisi😂🙌
2026-10-16 16:52:17
324
official.dee34
official dee💕 :
hii ni uhalisia jmn ila marafiki loooh[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-16 16:56:58
77
joph.com
joph :
dada uko saw
2026-10-17 08:52:30
0
ladiesclothes4
Duka la sweta(ladies_clothes4) :
Mwaka wa kumi huu sitakagi mtu kwangu 😅😅😅
2026-10-16 15:52:56
239
aggyskinglowcosmetics
Aggy :
kwann agnes😂
2026-10-17 10:44:45
0
user1799082949582
costanciangoyo :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] jaman nakupenda Bure mdada
2026-10-17 03:20:45
0
shantel_776
Shanel💫 :
hii sio content 😂😂
2026-10-16 18:21:25
56
doriecutegirl
Dorie,N💄👠👸 :
nipeni jinsi ya kukataa watu wasije kwako,utawaambiaje wasisjiskie vibaya
2026-10-17 10:16:23
19
veshalyseomeegmail
[email protected] :
kwanini Agnesy lakini[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-17 05:39:31
0
nkaaammi
ELLY🦋🩰 :
Kama content vile😂😂
2026-10-16 17:57:43
0
user3920855307210
fjonas :
kujaza watu kwangu had kwenye sherehe staki
2026-10-17 04:20:37
15
theddyc4
ᥫ᭡Theddyᥫ᭡ :
Humu comment kila mtu hAtaki mtu kwake asaa nani anaendaga kw akina Agness?[Tears of joy][Tears of joy]😂😂
2026-10-16 18:45:49
31
agiebornsbush8
agiebornsbush :
but why agnes😂
2026-10-16 18:51:09
0
stellah_vlad97
Therealmimah💍🦋🌺 :
Ndo mn stk watu nyumbn kwangu
2026-10-16 14:49:51
66
pinersggrey
Mrs.Aggrey❤️💍 :
Me hata niumwe nilishasema rafik zang kwang mtapasikia t kweny bomba[Tears of joy]
2026-10-16 16:46:19
32
aggiealfreds
Aggie :
Jaman kwn Agnes tumekukosea nn apo
2026-10-16 18:39:55
8
vyombohome
Vyombohome :
Mhhh jmn me tutakutana mwenge tu Kama zamani 😂😂😂😂
2026-10-17 06:17:51
5
kizu_cosmetics_tz
Kizu_cosmetics_tz :
Marafki zangu hawatakaa wajue ninapoishi😂😂😂😂
2026-10-16 19:41:02
7
cleolah8110
cleo :
sasa hapo agnes nimeingiaje tena[Laugh approved]
2026-10-16 15:37:05
14
agness.mshani
Agness Mshani :
kwann agness Lakin dachaz 😂sijapenda
2026-10-16 15:59:50
9
user2011070436873
Jacqueline 🍎 :
ndomana sina marafiki na sijikuwataka maishan mwangu 🙌🙌
2026-10-16 16:17:37
5
celine.shirima
shirimaceline :
inabidi saivi marafkizangu nawaweka nnje ndan marufuku
2026-10-16 16:33:08
6
its.momy.zuri
Miss lee Michelle :
marafiki wanafki sana mim sitaki
2026-10-16 15:42:42
5
eniver.charles
Mrs A :
hahhh et Mr😂
2026-10-16 18:55:51
3
To see more videos from user @dachazchaz2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About