@mgavi_neolife_tanzania: Salmon Oil Omega-3 Plus ina faida nyingi kwa watoto, hasa kwa ubongo, macho, ngozi na kinga ya mwili. ✅ *Faida za Salmon Oil Omega-3 Plus Kwa Watoto* 1. Huimarisha akili na kumbukumbu ✓Husaidia watoto wanaochelewa kuongea, kujifunza au walio shuleni kuongeza umakini 2. Huimarisha mfumo wa fahamu ✓ Husaidia utulivu wa mtoto, hupunguza hasira au haraka ya hasira (ADHD symptoms) 3. Huboresha afya ya macho na uwezo wa kuona ✓Omega-3 (DHA) ni muhimu kwa ukuaji wa retina ya macho 4. Huimarisha kinga ya mwili ✓Huzuia mtoto kuumwa mara kwa mara na kuimarisha seli za kinga 5. Hupunguza vipele na matatizo ya ngozi ✓Husaidia watoto wenye vipele au mzio wa ngozi 6. Huchangia katika ukuaji mzuri wa mwili ✓Husaidia mifupa, ubongo na viungo kukua vizuri Mpatie Leo+255673416581 . . . . . #neolifetanzania #neolifeproducts #omega3salmonoil #salmonoil #omega3plus