@chapa__tv: 😭 NI MUDA WA KUMPUMZISHA NDUGU YETU... Huu ndio ubaya wa kifo jamani 😭 Jana alikuwa nasi, leo tunambeba kwenye mabega 😭💔 DJ Taira ameenda zake, Uswahilini kumeungua! Pumzika kwa amani kaka yetu 🕯️🙏 #RIPTAIRA #CHAPATV
me uyu simjuh lkn imetokea kaniuma bado kijana mdgo Sana
2026-10-16 16:24:11
7
august :
na mm kuna sk watabeba jeneza langu stajua ni akina nani watakuwa wamebeba jeneza langu eeeh mung najua ww ndy mweza wa yote mulinde na atakaeona ii coment na akumbumu kuomba kila mda wa binadam utafka mm naishia apa nawapenda sana kingine usimdharau mt mweshim mpende ishi na watu vzr usijione na vitu vya dunia tnapitaaa
2026-10-16 17:35:03
8
MOUH :
Allah atujaalie kukumbuka kuwa kuna kifo na tukajiandaa na safarii hiii ngumu Allahuma Ameen
2026-10-17 09:28:35
2
🦋 Kim Joyner 🧸💕 :
Allah Akupunguzie Adhabu Ya Kaburi 😭
2026-10-16 15:23:19
3
MAMU❤️ :
🥹usiku wake wa kwanza kabulini yan kila nikifikilia najikuta nalia tuu jamn sisi wote mwisho wetu ni kifo apo ndo mwisho wa kila kitu😭😭
2026-10-16 23:03:35
0
🌸Ruu official🌸🦋 :
daaaa jmn polen
2026-10-16 17:16:04
1
cute vee :
mung akupunguzie adhabu za kabur mbele yako nyuma yetu
2026-10-16 15:30:06
5
nyemo msusi :
jmn🥹🥹🥹🥹
2026-10-16 15:54:03
1
J ONE🔥 :
mbele yake nyuma yetu
2026-10-16 16:38:42
1
ndota :
kbx yani mungu amfanyie wepesi
2026-10-16 17:37:43
1
Qeen J :
mbele yake nyuma yetu apumzike kwaamani ndugu yetu
2026-10-16 17:13:04
2
Shamsa :
mung akupunguzie adhabu ya kabuli
2026-10-16 18:23:20
1
Zaujia :
allha nimjuzi wayote akupekauli sabiti shemela
2026-10-16 18:18:04
1
Meddy Brown :
mungu akuhepushie adhabu yakbr
2026-10-16 15:43:52
1
Khqm!$ Brqnd❣️ :
pore
2026-10-16 17:17:33
1
MATUPA :
mbele yake nyuma yetu
2026-10-16 17:05:57
1
Single girl ❤️ :
Pole sana mungu akulaze mahali pema peponi😭😭
2026-10-16 15:49:47
1
Miss nur❤️🌹 :
Allah akupe kauli dhabiti😭😭😭😭😭
2026-10-16 15:40:45
1
siku kolongo :
kama utan jaman😥😥
2026-10-16 16:29:14
1
tee hynah💗💕 :
yarrab tujaalie mwisho ulio mwema , sisi ni viumbe dhaifu kwako tusamehe makosa yetu na hakika ww ni mwingi wa kusameh , 🙏
2026-10-16 16:06:53
2
sweet baby ❤❤❤ :
daah ivi nikweli kaondoka ee mungu naogopa mm 😭😭😭
2026-10-16 18:02:16
3
To see more videos from user @chapa__tv, please go to the Tikwm
homepage.