@siasatz: Ni kuhusu kusimama kwa huduma za meli ya Mv Butiama Mkoani Mwanza. #SiasaTZ #SiasaZetu #TheShepherd30

siasazetu
siasazetu
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 16 October 2026 14:27:27 GMT
87678
2763
131
94

Music

Download

Comments

amriabe
AMRI ABEDI :
technical issues expectation ni vitu vya kawaida sanaaaaa mkuu acha kutafta cheap comprality
2026-10-16 18:27:38
1
intore07
Shazma Ibrahim :
Kunaa watu wazembee Sanaa ! It’s called careless and taking thing within there comfort.
2026-10-16 17:10:03
2
obgyn23110
Dr Sungi :
the composer ya huyu mtaalam ni top notch🙌🙌🙌🙌🙌
2026-10-16 19:44:17
2
alwi.hadi3
Alwi Hadi :
Paul. Makonda. Sio. Easy. Very difficult question to answer
2026-10-16 16:19:47
2
daudilinza
daudilinza :
huyu jamaa anafaa kuwa raisi
2026-10-16 18:13:09
2
enosreal406
UNIQUE JEWELRY :
Waziri Wa Michezo Unamkuta anasimamia Mradi Mwingne Tena Mkoa Mwingne Hii Huwa Inakaaje!
2026-10-16 17:08:26
10
paulo.boniface1
Paulo Boniface :
Kumbe wizara ya habari ni mpaka kwenye Meli
2026-10-16 18:14:30
5
daudkondo3
daudkondo3 :
wataalam waachwe wasilazimishwe maana meli inabeba watu
2026-10-16 19:12:56
2
matabe_lfc7
MATABE 🇹🇿 :
Yani Makonda namkubali sana.
2026-10-16 16:44:30
1
jack.ma6983
Jack Ma :
Kwanni Mkuu wa mkoaa asinge kagua yye kama yye
2026-10-16 17:04:08
1
nyasbo814
nyasbo814 :
Hapo Bado Hajaomba Radhi Bali Anatoa Maelekezo[Tears of joy]
2026-10-16 16:24:09
4
user236876124630
user236876124630 :
mpe mtu nafasi ya kuongea kwanza usilete mambo magufuli
2026-10-16 19:45:51
3
deniskabanga319
## :
Makonda Naomba Nije nikuongezee Ulinzi brother leo interrogation iloifanya aiseee very very very professional 🙏🙏🙏🙏🙏
2026-10-16 15:59:34
1
kadoshi46
KALINATUJA :
NCHI HII INAHITAJI VIONGOZI KAMA AKINA MAKONDA. KWANI WATANZANIA WAKIAMUA KUMPATA URAIS MAKONDA KUNA TATIZO, NAONA ANAFAA KABISA KUWA RAIA. AU KAMA IKIWAPENDEZA WAMPE UWAZIRI MKUU ILI AWAPIGE SUPANA VIZURI WAZEMBE KAMA HAWA.
2026-10-16 16:29:21
5
yonapanga93gmail.com
yonapanga93gmail.com :
Siasa na taaluma ni vitu 2 tofauti.
2026-10-16 17:05:31
3
user2252817835177
Omega :
Msaidieni kujibu huyu mtu, politically, ni timing walikosea wataalamu, wangemwambia mkuu wa mkoa, asubiri wa test kwanza. baada ya wiki moja bado ni expectation
2026-10-16 15:11:05
4
johnson_tz
Arajick tz :
hiyo meli nadhani tuwape mda engineering maana meli hiyo ni chombo kinakwenda kubaba roho za watu tusubirie tu waataalamu wakubali
2026-10-16 18:09:35
2
smelvaliente
El Valiente :
Serikali yenyewe inatoa ahadi kibao na hazitekelezwi kwa wakati kwa hiyo wote ni wale wale tuu
2026-10-16 17:47:34
2
mikejonathan66
raymond87 :
huyu ni waziri wa nini ?
2026-10-16 19:12:26
0
aloycetemu999
Aloyce Temu :
nchi ngumu hii
2026-10-16 17:30:27
1
mtu.makin3
mtu makin🚆🚆@ :
bro nae sio fara anaakil nying sana sikiliza speach yake sio ya uwoga
2026-10-16 16:24:57
4
cityobserver
City Observer :
mtaalamu anababaishwa na siasa
2026-10-16 18:08:25
1
user23109734271678
Robby dhe don :
safiii
2026-10-16 16:56:39
1
majaliwa.j.wambur
Majaliwa j wambura :
tunapigwa nyingi sana
2026-10-16 16:15:14
2
hebronmwamwaja
hebronmwamwaja :
nchi yangu
2026-10-16 15:07:31
2
To see more videos from user @siasatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About