ni kweli hawajui sunna mambo mengi wanayoyashadidia hayapo katika sunna kabisa
2026-10-17 05:03:18
6
A.H.Islam :
Sada tufanye ni kweli Sayyidna Bilala alizua, lakini Mtume s.a.w aliona na akaridhia. Je mauzushi wanayofanya wao masufi.. nani anajuzisha?
2026-10-17 08:17:00
4
Idriss Kitwere :
Muslim (Hadithi Na. 234) amepokea kutoka kwa ‘Uqbah bin ‘Amir Al-Juhani kwamba alisema:
Mtume wa Allah ﷺ amesema:
“Hakuna Muislamu anayetawadha na akautimiza udhu wake vizuri, kisha akasimama na kuswali rakaa mbili huku akielekeza moyo wake na uso wake kwa rakaa hizo, isipokuwa Pepo itakuwa wajibu kwake.”
2026-10-17 09:45:55
4
Ali Abdulrahman :
Shukran Ustadh Kadiri
2026-10-16 15:44:32
8
rejaal💪 :
swali je mtume akishika udhu alikuwa akiswali rakaa 2 au alikuwa akishika udhu na kutulia tuu?
2026-10-16 19:35:19
0
al abulan :
wacha kumwita khuraf muislamu mwenzako wajitukuza nin yaani unaangalia kasoro za mwenzako
2026-10-18 04:26:17
0
Jaayh Hermitthy :
nachukia mtu anaejiona uislam wake umekamilika kuliko wengine , always wanataka kubishana tu
2026-10-17 17:50:50
1
Man :
Lkn hio alifanya mbele yke na hakumkataza😂
2026-10-17 15:43:10
0
ابتعد عن صاحب الهوى عن ضلالته :
حديث بلال فقد رواه البخاري (1149)، ومسلم (2458) عَنْأَبِي هُرَيْرَةَرَضِيَاللّهُعَنْهُ: "أَنّالنّبِيّصَلّى اللهُعَلَيْهِ وَسَلّمَقَالَلِبِلاَلٍ عِنْدَصَلاَةِ الفَجْرِ: ( يَا بِلاَلُحَدِّثْنِي بِأَرْجَى عَمَلٍ عَمِلْتَهُفِي الإِسْلاَمِ، فَإِنِّي سَمِعْتُدَفّنَعْلَيْكَبَيْنَيَدَيّفِي الجَنّةِ) قَالَ: مَا عَمِلْتُعَمَلًا أَرْجَى عِنْدِي: أَنِّي لَمْأَتَطَهّرْطَهُورًا، فِي سَاعَةِ لَيْلٍ أَوْنَهَارٍ، إِلّا صَلّيْتُبِذَلِكَالطّهُورِ مَا كُتِبَلِي أَنْأُصَلِّيَ".
قَالَأَبُو عَبْدِ اللّهِ: "دَفّنَعْلَيْكَيَعْنِي تَحْرِيكَ".
وسنة الوضوء ثابتة عن النبي صلى الله عليه وسلم ، وليست من اجتهاد بلال رضي الله عنه، ولا اختراعه . روى البخاري (159)، ومسلم (226) عن عثمان رضي الله أن النبي صَلّى اللهُعَلَيْهِ وَسَلّمَقال: (مَنْتَوَضّأَنَحْوَوُضُوئِي هَذَا، ثُمّصَلّى رَكْعَتَيْنِ لاَيُحَدِّثُفِيهِمَا نَفْسَهُ، غُفِرَلَهُمَا تَقَدّمَمِنْذَنْبِهِ).
وروى مسلم (234) عَنْعُقْبَةَبْنِ عَامِرٍ الْجُهَنِيِّ قَالَ: قَالَرَسُولُاللّهِ صَلّى اللهُعَلَيْهِ وَسَلّمَ: (مَا مِنْمُسْلِمٍ يَتَوَضّأُفَيُحْسِنُوُضُوءَهُ، ثُمّيَقُومُفَيُصَلِّي رَكْعَتَيْنِ، مُقْبِلٌ عَلَيْهِمَا بِقَلْبِهِ وَوَجْهِهِ، إِلّا وَجَبَتْلَهُالْجَنّةُ).
2026-10-16 15:40:16
0
iphonestar_tz :
Masha Allah Ustadh Qadir
2026-10-17 02:57:47
3
Abi Abidizer :
sasa mtume s.a.w.w. alifundisha mtu akitokwa na udhu aswali rakaa mbili
2026-10-17 06:59:31
0
King of the Jungle :
Huyu nani tena???
2026-10-18 05:22:37
0
chidy :
Bilal ndiye kamchanua mtume ndio mtume akaleta hiyo Hadithi. kwa hiyo aliyofanya bilal ilikuwa bidaa ndipo mtume akaiweka sumnah
2026-10-18 09:00:43
0
الحجاز & جدة :
ما شاء الله تبارك الله شيخ عبد القادر
2026-10-16 17:33:31
1
user2751956262334 :
NAULIZA MASALAFI IYO HADITHI ILIKUJA KABLA YA BILALI KUFANYA HIVO AU BAADA YA BILALI KUFANYA HIVO?
2026-10-18 04:01:58
0
Abu Fuad :
الله يحفظك
2026-10-16 18:44:28
2
Sulemtl :
Mashallah
2026-10-17 16:38:36
0
toji fushiguro :
baada kuongea na Bilal au kabla leta date za hiyo Hadith
2026-10-18 07:16:40
0
Gustavo :
kwa salafi wanarekodi video za sura zao skuizi?
2026-10-17 21:16:10
0
ashkhay :
dah mashallah yn umenikosaa umenifrhish moyon kbsa Safi sana
2026-10-17 16:45:57
0
MKULIMA :
sheikh Mbarak Sasa hapa si MTUME yupo hai.
2026-10-17 18:36:00
0
hassanjuma14988 :
ww fani yako ni kupiga Ngoma
2026-10-17 19:29:53
0
To see more videos from user @abdulqadirmasuo, please go to the Tikwm
homepage.