@paza_sauti_media: Wakili amesema endapo Mwenza wako akiugua na ripoti za daktari zikathibitisha kuwa hataweza kukupatia unyumba unaruhusiwa kuvunja ndoa kwa sababu unyumba ndiyo haki ya katikati ya ndoa. Amesema Wakili na mshauri wa masuala ya sheria, Flora Shija kupitia #nurufm #PazaSautiMedia

Paza Sauti
Paza Sauti
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 16 October 2026 14:51:59 GMT
87842
1945
56
573

Music

Download

Comments

hoja12366
hoja@123 :
Conjugal right
2026-10-16 18:33:22
0
abuu.abuuu7
Abuu abuuu :
marriage is not a marriage until is consumatted
2026-10-16 19:13:28
0
miclevis1
Levi's :
Mko wapi nije
2026-10-16 19:28:49
0
user3756790827661
my moon 💕💯 :
je kwenye mapenzi
2026-10-16 16:29:13
2
dqxound2
xound :
naomba kujua fudia ni how much
2026-10-16 18:39:37
2
babaraya7
Baba Farida :
Hivi kwanini mimi kila nikimpa mwanamke mimba anazaa mapacha. 😭😭 yani leo mke wangu amejifungua tena mapacha 2. jumla nina watoto 8 wote wanakuja mapacha mapacha tu.
2026-10-16 18:27:18
4
gclara.de
Mrs Bung’e💞 :
kuumwa na ile wanasema kwenye ugonjwa na uzima hua sio ya maana sana et
2026-10-16 22:00:38
2
royalsonnyantaba
ROYAL SON NYANTABA :
wakili amenivutia kwani nyinyi mnamwonaje😂
2026-10-17 00:26:46
0
smart_dodoma
smart_dodoma :
Wakili tuma Lipa namba yako hakika wew ni Mbobez wa kada yako ya Sheria 👏👏👏🤝
2026-10-16 17:58:16
3
messenger.174
MESSENGER 1 :
asante studi
2026-10-16 21:22:02
0
abela.patrick
Abela Patrick :
sijui niseme nifanyeje sasa😂😂😂
2026-10-16 17:56:04
1
dannychuve
Chuves :
Ww dada mbona me niliumwa tyohoid wa kwangu akanivumilia
2026-10-16 23:19:00
0
athumanisalim
Albert kindamba :
wakili naomba kama hujaolewa nikuowe
2026-10-16 20:06:22
0
dullymom3
dullymom3 :
kwani ni mali ya mahakama au yangu? tusipangiane matumizi
2026-10-16 21:31:43
0
masalu.baluhye
Masalu Baluhye :
mpo sahii sana jaman
2026-10-16 20:01:41
0
francismagege
Peace Soldier :
hapa wakili tunae na tunatamba nae
2026-10-16 20:15:30
0
1225lux
Lux Mund :
kumbe kupewa talaka simple hivi🤔
2026-10-16 20:27:01
0
arman_coil
Arjun Rampal :
Kwa mujibu wa sheria ya ndoa ya mwaka 1973 na marekebisho yake ya mwaka 2023...inakubalikaa kabisaa kwa sababu kubwaa 2. 1. Endapo mwenza(mke / mume) ataugua ugonjwa wa kudumu..mojawapo anaweza akapeleka ndoa mahakamani na kuivunjaaa 2. Endapo mmoja wao(mke/mume) akapatwa na ugonjwa wa afya na ikathibitika na serekali hawezi kuponaa..ndoaa hiyoo itavunjikaa kwa idhini ya mahakamaaaaa
2026-10-16 20:55:46
0
preslepresident8
Evarist Salenya :
wakili msomi Fifi we are proud of you
2026-10-16 18:55:32
0
mafuta.dodoma.aliz
MODERN VIEW SUNFLOWER OIL.DOM :
bible ina sema mpaka mmoja die au mm nimesoma vibaya vifungu
2026-10-16 18:53:30
0
nathanielyernest
nathaniely ernest :
irene. umeskia lkin
2026-10-17 00:39:26
0
light02340
Babe light ✨ 💛 :
nimekupenda bule
2026-10-16 20:08:11
0
am_pseudocode
Ⓐ︎Ⓜ︎ :
Na nyumba je inakuwaje unyumba sasa...
2026-10-16 19:59:58
0
comdaretz
Comr Ade :
ndio ndio😃
2026-10-16 19:40:30
0
madamreen6740
Madam reen✨✨💕 :
2026-10-16 18:32:31
0
To see more videos from user @paza_sauti_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About