@smpmedia1: SABABU 3 KUBWA ZINAZOFANYA BIASHARA IFELI 📉 1\. Kuchanganya mtaji na matumizi binafsi. Unatumia pesa ya biashara bila kutenga faida, mwisho mtaji unapotea. 2\. Kuanza biashara bila kufanya utafiti. Unaiga biashara za watu bila kujua mahitaji ya wateja na changamoto za soko. 3\. Kukosa nidhamu na usimamizi wa fedha. Huweki kumbukumbu za mapato, matumizi na faida, hivyo unashindwa kujua biashara inakua au inakufa. Kumbuka: Biashara inahitaji zaidi ya mtaji; inahitaji maarifa, nidhamu na usimamizi mzuri. voice by Joel Nanauka recommend by Smart Musabalala SMPMEDIA1 #Biashara #BusinessTips #Ujasiriamali #MoneyMindset #FinancialLiteracy