kumb shabalal asaiv anachz na vit ilikuwej kwan nilikuw jera
2026-10-16 17:59:56
16
kikoty :
life is changing
2026-10-16 17:41:32
1
Mr beny :
Anajikuta David Alaba 😁
2026-10-16 17:04:58
10
Dijjah :
😁😁😁ila jmn mmupumzishe sasa make huko aliko hana aman😁😂
2026-10-16 17:10:16
7
user3434530685294 :
😂😂😂😂😂 kwishaaaaaaa
2026-10-16 18:09:53
1
Flora john 🍎🍎🍎 :
nikiambiwa nichague huyo na huyu bola yule [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-16 18:01:48
2
🖕🖕🖕🖕🖕 :
Daaah this is SIMBA
2026-10-16 17:39:31
1
user Isack Msihi :
Dogo kakonda balaa
2026-10-16 21:11:34
5
noahamos296 :
aliumia lini Shaba mbna haonekani siku hiziii
2026-10-17 11:09:45
1
#EddyStormCode🔥 :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 sisi Simba tumeshindikana kwa nongwa
2026-10-16 17:31:30
1
Maria Elkana :
Anafosi furaha 😂😂
2026-10-17 07:25:52
0
simonkadilanha :
mashujaa imemsubili mwakani imsajili
2026-10-16 20:35:29
3
shamte shaffi :
kwisha habari yake
2026-10-16 18:07:29
1
Said Kaluma :
kabisa
2026-10-16 17:45:13
1
Youngntawa@🔥 :
kitu ambachowatu huwa hawajui hata mpira ni biashara kuna Leo na kesho kwahyo usiombe biashara ya mwenzako ife mtu hawez baki kwenye timu Moja wakat analenga masilah kwahyo usisubiri mwenzako aanguke umcheke
2026-10-16 18:52:28
2
Bahati Makia :
😂😂😂Yanga oyeeeeee,
2026-10-16 17:59:09
1
Da lissa :
pamba fc inamsubiria kwa hamu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mamaee
2026-10-17 09:01:45
1
0000 :
mutasubili sana
2026-10-16 18:50:58
2
waja Diely :
lazima uyo tumuone singing naye
2026-10-16 18:10:37
2
To see more videos from user @sautiyamichezo, please go to the Tikwm
homepage.