Mmi ciungi maulidi lkni ukweli ni kwamba hatuezi kkubaliana sote kua inafaa au haifai mpaka kiama tuendeleeni tu kubishana but huo ndio ukweli
2026-10-17 10:59:40
0
Education :
Kivipi maswahaba watakhitalifiana wakati wao walipokea Moja Kwa Moja kutoka Kwa mtume.
2026-10-16 20:51:36
0
Ibrahim Chuma :
Naam
2026-10-17 11:25:53
0
AbuuMohamed :
ikhtilaf katika furughu na sio ktk usulu
2026-10-17 05:39:13
0
Okethi Issa :
shukran shukran shukran shukran
2026-10-17 03:52:22
0
Ummu Rukayya :
mashallah Allahubarik
2026-10-16 18:29:43
0
shenjee :
mashaallah umeeleza vizuri sh.feiswal
2026-10-16 17:38:48
0
BAM BAM :
mashalla 👌👌👌
2026-10-16 22:38:56
0
AbuuMohamed :
احتلاف في الفروع ليس في الاصول
2026-10-17 05:38:19
0
hakimu1230 :
Wacha kuwa potosha watu, hio nikatika mambo ya furuuu, wewe leta sehemu ambapo maswahaba wametofautiana kwenye mambo ya asliyat, nahaya yote mwaya zungumza ili kupendezesha uzushi wenu, هدانا الله وإياكم
2026-10-17 10:07:09
0
أبو ياسر5 :
Naaaam walitofautiana si kama sisi leo hii kila mmoja ana ma
kundi lake na wao hawa kuwa na makundi
2026-10-16 19:47:12
0
user182170458 :
Hao Maswahaba Wana Hakiganikutowa hukumu Ya Mambo Ya Dini Mtowa hukumu Na Mwongozo Wa Dini Ni M/ MUNGU. Hao Maswahaba Ni Kupokea Sio Kutowa hukumu
2026-10-17 07:12:29
0
Abdallah mwinyi :
ila hawa kuzozana
2026-10-16 19:02:02
0
AbuuMohamed :
hio ni fiqhi . sio ktk aqida.
الله في السماء sio الله موجود بلا مكان كفر
2026-10-17 05:40:07
0
ibnu bashiir :
🥰🥰🥰
2026-10-16 18:47:01
0
Halima Mazera :
🥰🥰🥰
2026-10-16 18:58:26
0
jamesbond :
🥰🥰🥰
2026-10-16 15:57:26
0
Eddy150 :
Maswahaba hawakutofautiana ktk Dini aliyeandika post atenguwe kauli yake: Maswahaba walitofautiana ktk FAT’WA:
2026-10-17 14:27:32
0
To see more videos from user @ali.faza, please go to the Tikwm
homepage.