Watoto wa siku hzi hata ukiwawekea Wali wale eti wanaubakiza🥺
2026-10-16 17:50:56
243
Ibrahim ajibu :
zamani hata kuku wenye watoto ilikuwa wanakufukuza 😂😂😂
2026-10-16 16:25:07
1085
MEKU✝️😂 :
Watoto hawaanguki hata kwenye miti😂🔥
2026-10-16 18:05:40
185
idriss kibwan :
ivi unawazag nini😅😅😅
2026-10-16 15:55:13
160
Joyangel :
Mimi nilikimbizwa na ng’ombe mpaka now nawaogopa
2026-10-16 16:46:50
235
alberto kudeli :
hata machiz wa siku hiz hawana noma kam wale wa zamani
2026-10-16 19:43:17
123
WINNER :
I'm dying over here 😩
2026-10-17 06:36:34
1
De Boy :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] kweli kabisa kakaa Daaaah
2026-10-16 17:31:36
1
Mr Africahistory :
i survived covid for this 🥹
2026-10-17 09:30:12
4
Rajabu Said Mmbigo :
oya mbona kama kweli 😂😂😂😂😂
2026-10-16 16:39:47
117
Fine/B0y# :
we jamaa tutakufatiliaa[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-16 18:56:11
3
LifeOfBaba👣 :
Nilifukuzwa na mbwa niliruka matuta ya viazi nakuja kusimama mbele kumbe nishajikojolea😅😅😅😅
2026-10-17 05:43:24
11
Jofrey Peter :
genzi wamechanganyikiwaa[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-16 16:25:13
1
salim :
this are a bit old this are bit damn
2026-10-17 10:06:04
1
Kabota%deus :
Tulikuwa active san imagine tulikuw tunachokoza nyuki mchana😂🤣
2026-10-17 04:09:24
8
dark wolf :
afu kweli🤣
2026-10-16 16:35:48
5
davidiyohana618 :
ahahaha🤣🤣🤣🤣🤣🤣☺️
2026-10-16 16:13:50
5
celeen :
Tunao angalia sa 3 usiku ijumaa tuna apa 😂
2026-10-16 18:31:22
18
sazzy :
nimecheka kwa sauti kuuu
2026-10-16 16:14:35
41
Tuma Mwinyi :
Kuna Ile inaitwa kwinini ukimeza masikio yote yanaziba husikii k2 kuanzia Leo mpk kesho 🤣🤣🤣
2026-10-16 19:30:53
63
schola277 :
ila chuga umetishaa ,
kitambo sana😂😂
2026-10-16 18:22:41
6
farajh💪 :
apo Kuna mambo haya ✌️
2026-10-16 18:09:55
32
Nicole _nicklas :
Nakumbukaga Niko zang iringa rafiki Ang amelewa analia uku tunatembea nambembeleza aise tunakatiza mitaa ya tumain yan Kama kulikuwa na kikao cha mbwa pombe zilituisha nguvu za kukimbia atuna tukabak tuna wasilimia mbwa Shikamoo wakawa wanatuangalia walitukimbiza tuliacha viatu 😂😂😂😂😂
2026-10-16 17:10:59
24
To see more videos from user @chugabigii, please go to the Tikwm
homepage.