walai kama mimi but i thank God nilitoka i will focus and recover Everything that the lucust has eaten In Jesus Name
2026-10-20 19:21:39
0
sherry Grace :
that's me [Crying][Crying]
2026-10-20 17:33:44
0
nicprecious :
nakuna sie tumefika mbali kutokana na mahusiano yaliotuumiza yametufanya tufike mbali
2026-10-17 17:19:19
14
REHEMA 🎀 :
Mm hata nikiolewa ndoto zangu bado zinakipaumbele 📌
2026-10-18 08:07:02
5
becky :
wuuuuui aki mungu nikumbuke nilipoteza sana muda wangu kwa mwanaume kwa miaka tatu tulipopitana kwa maneno alikiri akaniambia alikuwa akinipotezea tu muda moyo wangu ulivunjika sana😭💔
2026-10-16 19:39:22
6
Ney :
nilikuwa sijawahi kuelewa mpaka yaliponikuta
2026-10-20 06:28:38
3
Roswita kidoty :
Mungu atusaidie tukutane na wenza sahihi ili tuendelee mbelee
2026-10-19 15:26:29
1
Pambika Tabora :
oh God, ni huzuni,i have gotten this sms when I hv already mess up
2026-10-17 16:58:08
2
village gal :
v true
2026-10-20 19:58:42
0
Mom boys❣️ :
sure aki
2026-10-21 04:25:46
0
monayo🥰💝 :
very true mausiano imenibomoa vibaya sana
2026-10-18 17:08:23
1
Aby mapendo :
kama mimi aki
2026-10-16 20:25:30
1
Wangari 🌼 :
ningekua mbali Sana 😭😭😭
2026-10-17 17:27:35
3
Cate :
me ningekua mbali lakini mwenye niko naye daa
2026-10-18 17:15:12
1
African Girl ❤️ :
Sad truth 😞
2026-10-16 16:31:03
1
Highly Favoured 🙌🫶🙏 :
Hakika
2026-10-20 16:39:05
0
kuchi Mamy💞 :
asee co poa mahusiano yanarudisha maendeleo yanakushusha kutoka juu na kurud chinii kabisa Yan unaanza upya
2026-10-16 20:02:48
3
princess wa kitale ❤️❤️❤️ :
walai
2026-10-16 16:15:04
0
Dorce Joel :
kabisa unacho kisema mama angu nikweli kabisa [Pray][Pray][Pray]
2026-10-16 16:47:33
1
Jjjs Collection :
mm sina nguvu ya kuongea haki
2026-10-20 20:23:06
0
ABDUL DAUDI :
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-10-18 05:11:42
1
Fredrick Chibole :
waaah ukweli mtupuu tunaumia kuingia kwa mahusiano tuko ndani sai
2026-10-20 13:27:37
0
Emily :
mmmh
2026-10-20 06:43:48
0
Bree bree :
kweli
2026-10-19 20:11:09
0
gladie-feisty :
mmh
2026-10-21 08:01:09
0
To see more videos from user @kalinga_fadhil, please go to the Tikwm
homepage.