@alwatanjrtz: A CITY IS IN A HOUSE Y'ALL Kazi imeanza babaaa kaaaaziiii imeanzaaa We si unajiita Chuga? Mi huyu dogo namuita Arusha anaitwa Stoppa Sela mmoja kati ya watu wanaounda kundi la @mataitaz_ akiwa na @mopa_lee1 anatufungulia session yetu. Watoto wa Arusha na Mbeya wamekutana, Leo leo kazi ipo Kazi ipo leooo 🔥🔥🔥🎤🎤🎤 Sponsored by fire extinguisher Tanzania, wauzaji na wasambazaji wa vifaa vya kuzima moto Wapigie kwa 0626440018 au tembelea ukurasa wao @fire_extinguisher_tanzania #tunadebedesha
jrjuniortz
Region: TZ
Friday 16 October 2026 15:31:58 GMT
Music
Download
Comments
𝕸𝖔𝖗𝖆𝖓𝖎 𝕴𝖎𝖘𝖍𝖎🦁_🦬 :
Overrated
2026-10-16 19:53:19
2
._MAKAVELI ._OFFICIAL 👑 :
🔥🔥mataitaz
2026-10-16 18:52:39
0
chawa msaritii4👊 :
mkali wanguu uyooo katisha sana [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-16 16:25:12
2
ERICKCASHPOINT ♻️ :
Mamen ameua sana sahv pita huku
2026-10-16 18:45:20
17
Montan@☠️💀 :
mkaliii kabisa
2026-10-17 07:41:33
2
mafiecalvin :
tamepita kibaba zaidi stoper Mmoja marap 50 wa mikoa mingine
2026-10-17 05:40:37
0
Hamis magu :
kapita kam pitaa
2026-10-16 18:59:31
2
Jafar Mbise :
oyaaa so kimbea chuga wote tumekaza ni mbaya tu
2026-10-17 05:28:06
3
YUONG💢TIBLOO❇️ :
Ow mamen stoper hachangui bet nibalaa nakubal
2026-10-16 21:38:58
2
chuga war@ :
oya sharauti sana Kwa blood zangu
2026-10-17 00:24:24
2
Çãkhäñ♡ :
mataitazi🔥🔥🔥
2026-10-16 19:26:05
2
j-1pc :
amepita kama mbele so kimbea uyo ni chalii ya majangaa 💪🏾💪🏾 arusha tumekaza so kimbea 🔥🔥
2026-10-16 21:51:51
3
chuga arusha :
mataitaz . amepita kama piataaa★★★💯🦀
2026-10-17 09:26:26
0
iam_jordy :
FROM U.S.A
2026-10-17 15:57:16
0
Mc Burah👊 :
ili chimbo n balaa
2026-10-17 11:15:39
0
Rally mkor0fi :
Nakubali familia
2026-10-17 10:26:40
0
kiso kera :
2026-10-16 18:17:43
1
Bray boy :
👑👑👑👑👑💯💯💯💯💯
2026-10-17 08:58:18
0
Julius.4ever :
ni balaaa
2026-10-17 04:28:54
0
user2317108748152 :
ndiy
2026-10-16 19:39:39
0
Fure :
wawawaa
2026-10-17 15:26:02
0
it's msafi💦 :
hatuogopi wachawi tushakaa na waganga
2026-10-17 06:51:52
0
theolonicous :
Mataitaz hawajatuangusha, respect kwao
2026-10-17 16:24:40
0
arno :
wape mzigo🌹🌹🥰
2026-10-17 02:57:14
0
barrick17 :
The stoper Selaaaaaa😅
2026-10-16 16:42:46
0
To see more videos from user @alwatanjrtz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.