millennials ideas izo gen Z hawez kubali huo upuuzi
2026-10-17 09:04:20
0
juma620 :
uhakika
2026-10-17 03:31:46
0
eliudy :
nikwer inapasw kuvumilia
2026-10-17 07:39:32
0
fransisca Komba :
no siwez vumilia matatizo😅
2026-10-17 06:32:18
0
Nasraomary :
😂😂😂😂Ila sio kwa changamoto hiiii uwiiiii
2026-10-17 09:00:50
0
asifiwe kilas :
2026-10-17 08:57:18
0
Mon boy :
2026-10-17 07:35:55
0
swedi kejo :
🤣🤣😂so Kwa changamoto ya kung'atwa na nyuki ivo asee siezi
2026-10-17 08:30:21
0
Jose Nyang'au :
aweee kunachangamoto zakuvumilia ila sio kwa changamoto hii weeeeee!
2026-10-16 19:19:40
0
masimbi TZ :
duuu kuna hatali ya kupoteza uhai inabidi utimke tuuu
2026-10-16 18:29:13
0
Abel Kaoneka :
pole
2026-10-17 11:01:26
0
shavoh! :
weeh🤣🤣 apa changamot haipiti atapita huyu jamaa2 changamoto ataiacha apapa!!! au Kam nikwel nishapata wazo ngoj namim niend kituo cha polis nikalikologe Alf siondok najua umenishaur yatapit ole wak sas nikabadilishw Jin niw malehem aisee ntakuludia!!!
2026-10-17 07:32:14
0
Linda's mollel :
yeeeyee maidim neijaee!!!! nahisi nyuki wanang;ata mpaka utumbo.
2026-10-17 11:00:51
0
Asia Msangi :
Nyingin hazivimilik
2026-10-16 21:19:23
0
Eddy maximum :
labda changamoto ya kutukanwa tu siyo nyuki😂😂
2026-10-17 09:49:44
0
To see more videos from user @kidder.lux, please go to the Tikwm
homepage.