ntajaribu mwakani[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-17 11:44:26
2
cute tee♥️♥️ :
kuanzia 2021 mpk sasa am so happy [Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-16 21:29:41
1
shinuynah💫 :
2023_2024 but now😭😭😭😭😭
2026-10-17 21:16:47
0
azuuwanyika :
2013to 2018 , the 2020 until now
2026-10-18 00:43:44
0
Nashy💕 :
2022 koka 2023 baaada ya app mateso 😭😂
2026-10-17 21:12:31
1
Baby rayyah🦄 :
xjawahi wallah kila xiku nalia mimi lbda baba angekuwepo ninge enjoy mapenzi ya baba kwa mwana dah😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-10-17 05:29:31
18
Mom's Daughter💞 :
mwaka huu jmn napendwa mm mpk raha jmn Wahehe wanajua mapenzi sijui nilikuwa wap tangu mwanzo ...l love my man
2026-10-17 13:23:42
21
the one himself 🥀🕊️ :
2021[Broken heart][Broken heart]
2026-10-17 06:53:33
0
mariam😎😎😎 :
2026 huu mwaka kwangu ni neema kubwa sana 😊😊
2026-10-17 06:33:16
19
happy ze brightlady :
2026 mwezi wa 3 nilienjoy sana,ila sas hv nmtu wa kulia tu 😭
2026-10-17 08:29:25
7
Angel moses :
tokea 2022 mpa ihi 2026 sijawah pata upendo wa dhati popote ulipo ba mpenzi uliye andaliwa kwajili yangu nakusubili 😂😂😂 mana me nime choka me
2026-10-17 14:35:43
11
one heart 🤩 :
2024
2026-10-17 06:10:15
2
Pau Nicco :
Nataman nipat ila spt
2026-10-17 18:56:08
1
khadija :
mhi sijawahy kwakwery
2026-10-16 20:17:15
2
bravo star :
me nachoka kila nikipata wao wanapenda ela tu asa me ninamalengo nazo nachoka mm
2026-10-17 03:39:29
6
Safina Dodo :
2018--2025 now saa hii nimutu wa kulia lia hovyo kama mtoto asikwambie mtu mapenzi yaniuma 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭nuru haipo tena imepotea
2026-10-18 06:29:50
1
Mrs salvany Tozz💙💙 :
jamn huu mwaka kuna mtoto wa mtuu ananipenda jmn mpaka naisi tupo wawili tu duniani jmn kupendwa rahaaa jmn namshukulu sana munguu wangu aendelee. kutupa uzima na aongeze maraika wa urizii kati yangu mimi na salvany ❤️❤️
2026-10-17 23:27:40
2
Gift 🍫 :
3003 mungu akipenda [Teary eyed]
2026-10-17 11:08:22
2
Husna Isdor :
sijawahi furahi mm na mapenzi ni mafuta na maji
2026-10-16 20:41:50
7
maryam :
cjawah
2026-10-17 06:25:33
1
sabricious1 :
𝒌𝒖𝒎𝒃𝒆 𝒌𝒖𝒏𝒂 𝒌𝒖𝒑𝒆𝒏𝒅𝒘𝒂𝒂
2026-10-16 18:31:12
2
emmy nimratty🤪 :
dah kabla ajawa dj[Embarrassed]
2026-10-17 07:38:42
1
dragongirl369 :
2018 2020 2023 2025 Ila Mimi ndonilizingua
2026-10-17 09:11:28
1
Mouly🦋❤️ :
Mwaka jana nlipata bahat ya kupendw mpka sas nadunda n upendo w dhat🥰
2026-10-17 18:29:36
1
sad songs audio 🎼🎧😊 :
hakuna yote n maigizo tu n sjui km ntakuja kupata anaenipenda kw zati n kufanywa kuwa mwenye furaha💔💔
2026-10-17 10:08:59
1
To see more videos from user @mr.love.bites981, please go to the Tikwm
homepage.