@fikrahuru882: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema alijikuta akimwaga machozi wakati akitazama runinga na kushuhudia Mtanzania Jihan Dimack akivishwa taji la Miss Grand International 2026. Akizungumza wakati wa majumuisho ya ziara yake Mkoani Mwanza, Makonda amesema aliguswa na tukio hilo, hususan wakati wimbo wa Taifa la Tanzania ukipigwa katika hafla ya kumvisha taji Jihan. “Nilijikuta nalia nilipoona anavishwa taji huku wimbo wa Taifa ukipigwa, hakuiwakilisha Tanzania tu bali Afrika nzima,” amesema Makonda. Aidha, Makonda amewataka Watanzania, hususan Vijana, kujitokeza kwa wingi kumpokea Jihan, anayetarajiwa kuwasili Nchini kesho, Oktoba 17, 2026, kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es salaam.
Fikrahuru
Region: TZ
Friday 16 October 2026 16:22:05 GMT
Music
Download
Comments
Musa Nkandi :
me ni msukuma lakin ukabila wa nn tena kusema tena ni msukuma kwani akiwa msukuma ndo inashagaza nini au mlitaka awe kabila gani ndo msiseme kabila lake msemee tu ushidi wake sio poa acheni kuzogoanq kimakabila mtu mwenyewe hajatumia neno hata moja kuhusu kiupata tuzo hiyo lakin ninyi mmekomaa afu ni msukuma tu mnamgawa na makabila mengine yasiyo ya kisukuma kwa masifa yenu yasiyo na maana wengine tunawaona ni wasomi kabisa lakin bando mnazugumuzia makabila
2026-10-17 06:34:26
7
HAPPYNESS :
mungu yumwema🥰🥰🥰
2026-10-16 18:49:54
7
getruda :
acha wivu wasukuma ni taifa kubwa
2026-10-17 14:24:52
8
Esta Msumary :
kuna watu wanapenda ku judge kila kitu Mh kutaja Msukuma anataka kuonyesha kwamba ni kabila linalojulikana vizuri tu si hata kitu cha kubabaisha babaisha ni mtanzania halisi
ila walimwengu sasa washaanza ukabila oooh kunasababu gani yakusema msukuma
kwahiyo hamna point yoyote ya maana unaweza ichukua kwenye maelezo yoote aliyosema mheshimiwa ulichosikia ni neno Msukuma tu?Tubadilike jamani si lazima kutafuta weaknesses kwenye kila jambo
2026-10-21 14:14:48
2
PRT :
watanzania ni watu wenye upendo sana tatizo siasa tu ndo zinazoharibu amani na upendo wetu, naipenda Tanzania
2026-10-17 08:30:18
6
Goodluck kafaya :
ss tunataka amani
2026-10-16 18:00:31
2
TikToker :
Mhe. PCM.
Kama mnathamini na kufurahia #HAKI ambayo dunia imetenda kwa JMT kwenye mashindano hayo ya ulimbwende basi MTENDE #HAKI PIA KWENYE UCHAGUZI MKUU ili muone ufahari wa kutenda haki na mfurahi pia chama cha upinzani kikishinda uchaguzi (utoe machozi ya furaha), mkimaliza kwenye uchaguzi mhamie kwenye soccer Yanga vs Simba mtende haki pia, mkifanikiwa kote huko basi Mahakama ya Tz itaiga na kuwa #Paradiso na nchi hii itapona. Nadhani twende hivyo.
2026-10-22 14:08:57
1
mwajabu173 :
Ahsante kwaungozi wako mwema nakufurahiaga sana
2026-10-17 07:43:12
6
flora bayi :
hadi mimi nimesapoti nchi yangu tanzania 🇹🇿 💖 ♥️❤️
2026-10-18 08:52:47
3
agness betram :
kweli kabisa baba.Tunamshukuru Mungu
2026-10-18 08:58:21
5
user2818056596362 :
tumefanikisha mapokez yake jana na tumefanikiwa sana
2026-10-18 05:33:43
4
makeja :
ogela sana jiyan kijana wetu
2026-10-17 05:18:45
3
Undifined :
Shida mnatuchanganya tu baadhi ya viongoz nyie
2026-10-17 05:20:43
3
Jaku :
na mm nimelia sna
2026-10-18 06:16:55
3
Skyllah♥️ :
Amina
2026-10-18 09:32:17
3
muslimah❤️ :
mungu ni mwema sana
2026-10-21 21:44:44
1
Top gee🤪 :
Wow 🤣🇹🇿🇹🇿
2026-10-20 11:23:03
2
dodi mabula :
duuuuuu kwakweli jihan umewakilisha
2026-10-25 20:03:57
1
Jacqueline Mayowa Mwakasala :
Ni Munguameamua sio kwa akili zetu ni Mungu ameamua acha utukufu urudi kwake Yy Mwenyewe Mungu
2026-10-17 07:00:17
3
user8461727984372 :
Amina kiongozi 🥰🥰🥰binafsi naipenda nchi yangu
2026-10-16 19:49:18
4
Beth :
MUNGU! ametupa kila kitu wasukuma sisi hakika tunapaswa kumshukuru 🙏🙏
2026-10-25 10:12:26
1
Mwana wa Bikira maria :
AMINA AMINA AMINA 🙏 MWENYEZI MUNGU AMTUNZE NAMSHUKURU MUNGU KWAUPENDO WAKE KWETU TANZANIA 🇹🇿 NA AFRICA 🌍 NZIMA TUSIACHE KUMTUKUZA , KUMSIFU MUNGU
2026-10-19 15:22:37
2
Aisha Muhamed :
TUMEFRAHI. WOTE
2026-10-20 15:35:53
1
Jacqueline Mayowa Mwakasala :
wasukuma hoyeeee
2026-10-17 06:58:45
1
hi :
twataka haki😁 zetu bye the way
2026-10-16 20:27:07
1
To see more videos from user @fikrahuru882, please go to the Tikwm
homepage.