mm kama Kuna place sijai tamani kuishi ni pipeline walai
2026-10-16 18:35:06
242
🤩Mbenya💘💘 :
Mm nikiwa mgeni pipe Kuna beshte yangu alikuja kunitembelea so venye alifika Kwa stage akanipigia nimpick,,venye nlienda kumpick tukapotea barabara tulizurura na yy more than six hours nikitafuta nyumbu kwenye Iko mpaka akaanza kunigombanisha🤣🤣🤣🤣ety kama hukua unataka kunipeleka kwa nyumba Yako bona ulinxhow nikuje😂😂😂😂
kuna wakati tulikuwa training ya ufala so tulikuwa tunaishi pipeline na masomo ilikuwa town siku ingine wakatuma dem jioni mboga kurudi kwa nyumba akapotea tukaenda kumutafuta kila mtu pia akapotea wacheni nilie kwaza😂😂😂
2026-10-16 19:58:12
46
Sharon sidika :
nikiwa pipeline nilikua nikipotea plot kila siku
2026-10-16 18:49:52
55
#Bmks :
Huku siwez rent nyumba nihishi ak...naeza potea siku mzima🤣🤣🤣tena kila siku
2026-10-16 20:21:20
24
🪷Bellah🪷 :
Sasa mimi mlevi 😁😁 si nitapotea siku tatu 😂😂😂
2026-10-17 10:11:55
15
Bree🌹💕 :
nyumba zinapoteanga pipu....me nilienda nikalipa nyumba karibu na stage ya kware si nikaenda tao kufanya shopping kurudi sema gari kunipitisha kware ikanieka stage mpya😂😂😂😂😂😂😂😂weuh sijawai ona hiyo nyumba adi Leo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-10-17 13:57:13
9
Jackie :
mwenye kupokea ndio hawezi ona ful number but ukituma u see the number
2026-10-16 17:46:01
19
mwesh :
mi ata wacha pipeline nifika afya center n basi na uwa nafka nashuka gari napanda nyngne mara iyo iyo,siku yenye nilijichaganya eti niende county bus eti gari ni rahisi weu,waxha nliisunguke karbu nipotee
2026-10-16 18:46:16
12
The Donor :
walahi hata mimi nilipotea nikiwa kwa broka
2026-10-16 19:59:03
18
sherry2540 :
tangu niende kuona mtu then nkaenda duka na ni ivo nlipatikana kware😂😂😂😂😂siwezi jaribu tena
2026-10-17 08:25:46
5
🦋Najma♥️💫 :
😂😂😂😂
2026-10-16 19:18:30
2
jose :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-16 18:31:46
2
monchari💖💞 :
2026-10-16 18:43:35
1
pauline Nya migori :
2026-10-16 18:41:04
1
Esther :
🤣🤣🤣🤣Interesting
2026-10-16 21:27:38
2
Edmond :
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂 oooh my God
2026-10-16 19:17:47
1
Mama Jay :
😂😂😂😂😂😂😂😂 waaaaaaah
2026-10-17 08:09:43
1
Rehema vee 🇰🇪✨️✨️✨️ :
waa mi hapa ata niishi 1yr napotea tu bado🤣🤣🤣
2026-10-17 11:58:12
4
💛first lady💝💝💝💘 :
waaah huko ndio nilibiwa tu simu juu ya kopotea😂😂😂😂
2026-10-18 04:12:14
0
Joy :
weuh kuna izi njia huitwa by pass nilipita kurudi jamani nilipotea nilijipata nmezunguka Hadi Kwa reli
2026-10-17 11:29:23
1
To see more videos from user @kwamboka231, please go to the Tikwm
homepage.