yaan wote tuombe Mungu achukulie hii n kama content ty lasiivyo tumeisha tyliocheka [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]😂😂😂
2026-10-16 19:03:24
0
Marmoush 7 :
ndaro unachekesha ila kwenye vitu vya usirius broo kuwa sirius sio vitu vyote ni kuchekesha t hapo unamtaj mungu broo
2026-10-16 17:39:04
21
marybel :
Mungu achukulie hii kam content tofaut na hapo [Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-16 18:27:42
1
Bett :
tales of ndaro😅😅
2026-10-16 19:39:00
1
Zabron :
WAHA WAHA WAHA Nawaita Mara 3
2026-10-16 17:59:18
0
Goddy :
Mungu kasema hamna Elnino msibishe😁
2026-10-16 18:07:18
1
Danger 💥💯 :
kaka nakukubal san ila m nilikua naomb unisapot maan nataman kuwa migizaj .naomb
2026-10-16 16:52:03
9
Mgagaza🔥 :
kosa lao wanatuweka na sisi [Tears of joy][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-16 17:27:03
0
Church BoY ✍️🇹🇿🇹🇿 :
kama unaamini kuna mahali mungu anakupeleka sema AMINA
2026-10-16 20:03:23
4
Kim Wiseman KE :
hiyo suti sasa[Laugh approved]
2026-10-16 19:20:51
0
Joel Buya :
soma biblia ndugu yangu acha maigizo hakuna atakae hukumiwa kwa kosa la Adam na Eva, yesu ameyaondoa hayo yote na hukumu itakua kwa matendo yetu na uhusiano wetu na Mungu
2026-10-16 19:21:20
2
-it's isha❤️🦋🦋😜 :
sjui kwann siwezi kuvumilia video iishe ndo nisome coment😅😅😅
2026-10-16 19:38:32
1
jumà thomas :
waha tujuane
2026-10-16 17:23:42
4
SUPER TALL :
Kila siku nacoment sifikishi ata 10 kaka
2026-10-16 19:14:28
2
justinemnaku :
ukute Tanzania ndo chanel ya vichekesho 😁😁
2026-10-16 17:33:26
3
Daud :
patachimbika kaka 😁😁😁
2026-10-16 18:25:01
0
Emma samson :
Ndaro kuna kitu hujakijua, Mwamin YESU awe BWANA na MWOKOZI wa maisha Yako
2026-10-16 18:52:19
1
GWEBA OFFICIALLY TRENDING :
eva ikifika k mnishitue
2026-10-16 17:39:13
5
Ahmed :
hapo kuna mambo haya ✌️
2026-10-16 19:24:29
0
Marmoush 7 :
hapa tunapita t km kivuli
2026-10-16 17:39:26
2
leshuaka :
we naona uwanasheria umekushinda you better watch your back mwanasheria wangu😂😂
2026-10-16 19:37:41
1
•𝐋𝐋𝐘𝐏𝐄𝐑𝐅𝐄𝐂𝐓🦉 :
Nimekuwa wa kwanza🦉
2026-10-16 16:37:27
3
lady kimwaga 🫅💯♥️ :
anaitwa Yona
2026-10-16 18:37:48
1
Steve moses :
Emen mtumishi wa mungu
2026-10-16 17:27:57
1
To see more videos from user @ndaro_, please go to the Tikwm
homepage.