@bongo_media: Wakili msomi na Mshauri wa masuala ya kisheria Frola Shija ametaja viashiria vya awali katika mahusiano vinavyoweza kusababisha ukatili wa kimwili, kihisia na kiuchumi Amesema viashiria hivyo ni pamoja na wivu uliopitiliza, Vitisho, kuzuia mawasiliano na watu wako wakaribu, kutukanwa mara kwa mara na ameeleza kuwa ukiona dalili hizo, unapaswa kuripoti polisi.
mim kila siku ex waugu ananiambia kuna siku ataniuwa 😁 alafu sasa mim wala simuogopi
2026-10-17 04:18:23
2
Hawa Ismail :
toa taarifa polisi watyupatie msyaaaadaaa😂😂
2026-10-17 05:25:21
2
rey kitchen ware :
jamani napitia hvyo vitisho mpaka nimekimbia ninapoishi nyiee unatishiwa kwenye cm mpaka cm unaiyogppa
2026-10-16 18:05:07
7
Zuhura Mbonde :
wanaume baadhi Yao wakatili sana akishakuoa anahisi haustahili uhuru hata wa kuongea na simu yeye ndie mwenye haki ya kuongea na yoyote na usimuulize baadhi ya ndoa ni ngumu sana.